Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,310
- 46,806
Yani kuna ile counter ameiharibu kifala sana..
Napata shaka kuamini kama huyu ndio yule Anthony tuliyekuwa tunamuona kwenye 'highlights'
Lilikuwa goli lile.
Foward line yetu kazi inabidi ifanyike.