Mama Edina
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 942
- 2,269
Amshukuru casemiro ana saidia Sana defenseHizi clean sheet De Gea anazipata kwa jasho lake kabisa.
Amshukuru casemiro ana saidia Sana defenseHizi clean sheet De Gea anazipata kwa jasho lake kabisa.
Game zote alizocheza kaubonda sanaMnasubiri Wan Bissaka akosee muanze kumponda. Akifanya vizuri mnajikausha.
Kulia kuna Casemiro na kushoto kuna Rashford.Enzi zile Ronaldo hajaanza kulia liaView attachment 2468555
Kukaa bench kunasaidia sana mpaka akili zimeanza kurudi.Game zote alizocheza kaubonda sana
Jana kacheza vizuri sana
Casemiro is the greatest thing since sliced bread.Ila Casemiro [emoji119][emoji119] wasipoangalia hizi man of the match atachukua sana.
AWB ametulia kinoma..ila ndo kama hivyo,Dalot amerudi..sasa sijui ataendelea na AWB au vipiMnasubiri Wan Bissaka akosee muanze kumponda. Akifanya vizuri mnajikausha.
Sure mi napenda sana anavyohamisha uwanja ana akili ya haraka sana tominey anatakiwa akaze msuli haswaa bila hivyo atacheza karabao tu.Casemiro is the greatest thing since sliced bread.
Hata ile game ya City tusingepigwa vile zile 6 kama angeanza naamini.
Clean sheet zinaendelea tu kumiminika..huku pia mchango wake mbele kule pia ukiwa mkubwa.
Fernandes amekosa sana utulivu nowdays..sikubahatika kuangalia mechi ya jana ila ukiniuliza ni wachezaji gani pale manchester united hupendelea zaidi kucheza mpira wa tennis kama alivyosikika erik ten hag akibwatuka basi ni hawa wafuatao.
- david de gea
- scott mctominay
- anthony elanga
- bruno fernandez = HUYU NDIYE MASTER
- wan bissaka
- harry maguire
- fred
[emoji24][emoji24][emoji24] aiseeeeehhh alivunjika????dah ana mkosi sana jamaa
Bado hatujajua, ila kuna possibility ni ACL injury, mpaka umepinda hivyo goti sio zima.[emoji24][emoji24][emoji24] aiseeeeehhh alivunjika????dah ana mkosi sana jamaa
Kivp? Huwa unaangalia mpira au unafuatilia mpira?Fernandes amekosa sana utulivu nowdays..
Sijui tatizo nini aiseeFernandes amekosa sana utulivu nowdays..
Mpaka sasa upande wa kushoto umetimia kwa 100%. Beki - Shaw/Malacia, winga - Rashford/Garnacho. Tumalizane nao tu mikataba ya muda mrefu.Ila wakuu Shaw pia mkali..
Ana pasi zake ndefu zilizoenda shule kinoma..mfano ni lile goli ya tatu jana.