Inaonyeshwa Azam Chaneli ya (UTV)Wadau naweza pata link ya kuchekia game ya united leo.... Dstv hapa nilipo hakuna aisee..
Mkuu Antony Mbrazil mbona hayupo hata benchi??KWELI UCHAWI UPO,
1. UNASHINDWA KUELEWA MARTIAL "MVIVU" ANAWEZAJE KUWA 1ST ELEVEN?
2. VAN DER BEEK MPIRA WA HAPA ULISHAMSHINDA ANALAZIMISHWA KWA SABABU NI NDUGU YAKE KOCHA
3. ANTHONY KACHEMSHA MECHI TATU MFULULIZO KWA NJIA YOYOTE LEO ALITAKIWA AKAE BENCH, LAKINI ALIKUWA NA KOCHA KULE AJAX HAWEZI KUANZIA BENCHI.
4. KOCHA MJINGA SANA HUYU.
Mkuu Antony Mbrazil mbona hayupo hata benchi??
Hiyo no 3.......
Mkuu Antony Mbrazil mbona hayupo hata benchi??
Hiyo no 3.......
United inahitaji striker anaekupa goli 25 kwenda mbele kwa msimu.Nadhani kwa Sasa ningependa kumuona Harry Kane akitua OT...
Ni striker wa uhakika kukupa 10+ goals per season, awe na MAJERAHA timu iwe kiwango KIBOVU lakini ubora wake unabaki pale pale..
Kumpata sasa ni kama kubet huoni nunez kwa bei ile na anachodeliver ni tofautiUnited inahitaji striker anaekupa goli 25 kwenda mbele kwa msimu.
Kununua striker wa magoli 10 kwa msimu bora tubaki na kina Martial.
Tunahitaji Halland type of a striker.
Acha ujinga we mbwa @jMzoee tu huyo jamaa!!