Sancho alikuwa rehab..ngoja tuone comeback yakeTuweke ushabiki pembeni. Usajili wa Sancho na Anthony, Manchester United "walipuyanga".
Wote hao kwa pamoja hawajafika uwezo wa bwana mdogo Mason Greenwood.
Greenwood msenge utelezi umemponzaTuweke ushabiki pembeni. Usajili wa Sancho na Anthony, Manchester United "walipuyanga".
Wote hao kwa pamoja hawajafika uwezo wa bwana mdogo Mason Greenwood.
[emoji23][emoji23][emoji23]Greenwood msenge utelezi umemponza
Duu huyo donny asee wacha tuone.Bruno & Donny start.
ila huyu DvB havumiliki [emoji51][emoji36]
#C345Sam
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]
man utd |
Kwa upande wangu bado Nina Imani nae..... Tumpe muda mkuuTuweke ushabiki pembeni. Usajili wa Sancho na Anthony, Manchester United "walipuyanga".
Wote hao kwa pamoja hawajafika uwezo wa bwana mdogo Mason Greenwood.
Kikosi kizuri tu kikubwa game plan nzuri ukiangalia hata kwenye benchi kuna watu wakuingia uwanjani na kuleta uhaiKusema kocha kaanza kuchukua tahadhali mapema ya game ngumu zijazo mpaka kaweka kikosi hiki!View attachment 2468234