Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tukipata striker mmoja ,,Ila sokoni kwa Sasa Kuna striker ya maana ?
Kwa ile budget waliyoitumia kwa Ronaldo wajilipue kumsajili Kylian Mbappé watu tufurahi.
Screenshot_20221228_124457.jpg
 
Kwa ile budget waliyoitumia kwa Ronaldo wajilipue kumsajili Kylian Mbappé watu tufurahi. View attachment 2460905
Mbappe aende kucheza manyua? Kuwa serious

Zile tetes kuwa January hamna hela Zina Ukweli ndani yake , January hii tegemeeni sajili za mikopo

Erik ten Hag is determined to add to his attack but #mufc declined to go for Cody Gakpo due to finances and the decision has now been made that only loans in January are affordable. [@lauriewhitwell]-Tier 1
 
Confirmed Hatujamsajili Gakpo sababu Timu haina Hela.

So Either mkopo ama Hatusajili January ama anakuja Mchezaji wa Bure kama depay.
 
Tumeshinda lakini kuna maeneo tunahitaji kuyaboresha sana hususan dirisha hili..

1. Hatuna namba tisa, mipira ming ilkua inaingizwa kwany box haswa kipnd cha pili mfungaji hayupo

2. Fullback zetu butu kabisa kuna maeneo unaona kabisa zinatucost sn

3. Antony ni mchezaji wa kawaida sn

4. Casemiro[emoji91][emoji91][emoji91][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23] kwamba Anthony Daniel James WA pauni 100

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Which striker should Manchester United sign this January? [emoji848]

#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]

man utd |
IMG_20221228_214138_499.jpg
 
Which striker should Manchester United sign this January? [emoji848]

#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]

man utd |View attachment 2461405
Kwa January hii uongo. Wa-negotiate na ATM kwa Felix wamchukue kwa mkopo hata wasipoweka kipengele cha kumuuza.

Next summer tuingie sokoni na budget ya uhakika. Harry Kane au Ivan Toney (akikutwa hana makosa) naona mmoja wapo atatufaa sana au kocha na bodi watakayependekeza.
 
grazzer's wanasema wao sasa wanataka tu kuuza timu ili wakafie mbele na si kusajili wanasema usajili wao walisha fanya kiangazi ,so kwa muda huu labda mfanye sajili za mikopo, hawawezi ingiliwa wakati wao ni wakusepa muda wowote.

Kiangazi walimwaga pesa mingi mingi €250m ,hivo muwe na shukrani
 
Hata pesa ingekuwepo kusajili striker mzuri January ni ngumu sana. Wafanye loan deal tu, mchezaji anayeweza kucheza CF aliyepo sokoni kwa mkopo ni Joao Felix. Sidhani kama kuna striker mwingine kutoka ligi 5 bora anaweza kusajiliwa kwa mkopo.

2022 summer Glazers walitoa €225m na siyo €250m.
 
Nilikosea kidogo

Manchester United have spent £211.5 million (€245m) on transfers this summer, in what was Erik ten Hag's first season in the Old Trafford
 
Manchester United are really happy with Amad Diallo and his development on loan at Sunderland. Goals, quality and attitude have been excellent. [emoji837] #MUFC

There's no buy option, also Man Utd have turned down approaches from Italy for permanent move months ago.

#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]

man utd |
IMG_20221230_113209_060.jpg
 
Enzo Fernandez is pushing to make a move to Chelsea happening with Todd B is willing and able to make a very large bid. Personal terms agreed. No bid from #LFC or #MUFC.

#FabrizioRomano
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]

man utd |
IMG_20221230_121404_012.jpg
 
Back
Top Bottom