Huyo mzee miguu kama wabogojo,hamna beki humo ndio aliyetuchomesha fainal WCIla varane sidhani kama yupo fit kuanza game ya leo.
Hana maanaRonaldo katuchelewesha sana.
2-0
OffsidePumbavu sana huyu refa amefanya tufungwe bao la kusawazisha kwa maamuzi yake ya hovyo
Casemiro hakucheza faulo pale
Refa kazingua, Casemiro hakucheza mguu wa yule jamaa, jamaa aliuruka sijui hata hiyo foul kaiamuajeGoal la kijinga.
Wakati naandika hiyo comment ndio nimeona hapa ikikataliwaOffside
Kuuruka tu ni sehemu ya kumhadaa kipa huku ukiwa offside.Refa kazingua, Casemiro hakucheza mguu wa yule jamaa, jamaa aliuruka sijui hata hiyo foul kaiamuaje
Analazimisha kufunga
Anthony amepatwa na nini?
HujanielewaKuuruka tu ni sehemu ya kumhadaa kipa huku ukiwa offside.
Ni offside
Kazi nzuri ya MwlSema Goal la Rashford ni bonge la goli pasi ya Eriksen unaombea mkopo Bank
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Ana bahati mbaya leoAntony wa Brazil mh