He is promising player na wamempata kwa bei chee tofauti na kina Antony au SanchoWamekurupuka pale gakpo hana uwezo wa kuanza pale Liverpool labda tu waseme wameongeza squad depth ila siyo mchezaji wa kugombania namba na kina diaz jota firmino [emoji28][emoji28]
Demu umemuandaa wewe kaenda kuliwa na wengine!😂😂Manchester United are reportedly planning a €50m (£43.1m) bid for Cody Gakpo [emoji383]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]
man utd |View attachment 2450128
Casemiro je? Varane? Wote world class hawa na wameamua kuja UTD ushawishi upo wa kutosha.Huna uwezo wa kusajili world class players kwa sasa
Zimebaki 23 asaivi😆😆😆Top four baada ya game 14? upo serious? Unajua zimebakia game 24.
Imewalazimu wafanye hivyo ,maana Jota had February ,Diaz MarchWamekurupuka pale gakpo hana uwezo wa kuanza pale Liverpool labda tu waseme wameongeza squad depth ila siyo mchezaji wa kugombania namba na kina diaz jota firmino [emoji28][emoji28]
Man u sidhan Kama walituma ofa ,ila walikuwa na mazungumzo na mchezaji ,Mi mwenyewe sijui nini kitaendelea kama Ni ETH kachomoa ama Liver wametupokonya. Tutajua baadae.
Issue ni kwamba hakuna profile tunayoitaka sokoni, kwa Bei jamaa angetusaidia sana Depth.Man u sidhan Kama walituma ofa ,ila walikuwa na mazungumzo na mchezaji ,
Yule Anthony ,man u fans watakuja kukubali baadae Sana kuwa Ni wakawaidaHe is promising player na wamempata kwa bei chee tofauti na kina Antony au Sancho
Hao uliowataja Casemiro na Varane wote ni NSSF wamekuja kula mafao ya uzeeni.. yani nyam nyam!😆Casemiro je? Varane? Wote world class hawa na wameamua kuja UTD ushawishi upo wa kutosha.
Ulisoma story ya Licha? Kampigia simu ETH anaomba kuja UTD ananmwambia akikataa ndio Ataenda Arsenal.
Mpo na sisi Arsenal kwenye Dili la Joao Felix , japo na Chelsea kaingiaIssue ni kwamba hakuna profile tunayoitaka sokoni, kwa Bei jamaa angetusaidia sana Depth.
Ni world-class players lakini ama?Hao uliowataja Casemiro na Varane wote ni NSSF wamekuja kula mafao ya uzeeni.. yani nyam nyam!😆
United hawakuwahi kuweka bid!Mpo na sisi Arsenal kwenye Dili la Joao Felix , japo na Chelsea kaingia
Nilitegemea na man u fans wengi walikuwa wanajua watawekeza nguvu kubwa kwa Gapko maana mmeanza kutajwa kitambo
Arsenal tuliachana na Gapko toka summer
Ila lisandro mtu Sana, namkubali kwenye pass tuCasemiro je? Varane? Wote world class hawa na wameamua kuja UTD ushawishi upo wa kutosha.
Ulisoma story ya Licha? Kampigia simu ETH anaomba kuja UTD ananmwambia akikataa ndio Ataenda Arsenal.
Ukitoa Mbappe na Haaland hakuna World class mtoto, Mpaka Uwe world class unahitaji kuprove at top level, so World class wengi ni Hao NSSF, kwa form Zao Varane na Casemiro msimu hii i dont mind NSSF mwengine.Hao uliowataja Casemiro na Varane wote ni NSSF wamekuja kula mafao ya uzeeni.. yani nyam nyam!😆
Inawezekana hawakumuhitaji haswa , au Liverpool wamefanya ushawishiUnited hawakuwahi kuweka bid!
Sasa kama hawajaweka bid, kushindwa kwenye ushawishi kunaingiaje hapo?Inawezekana hawakumuhitaji haswa , au Liverpool wamefanya ushawishi
Kwa man u Sasa inahitaji ku establish style ya kucheza ,ili mchezaji anapokuja anajua naenda kufanya Nini
Huenda Liverpool kupitia Klopp wamewazidi man u kwenye ushawishi
Tatizo la Joao ataweza kublend na Bruno? Labda kwa vile anapatikana kwa mkopo pengine risk ndogo,Mpo na sisi Arsenal kwenye Dili la Joao Felix , japo na Chelsea kaingia
Nilitegemea na man u fans wengi walikuwa wanajua watawekeza nguvu kubwa kwa Gapko maana mmeanza kutajwa kitambo
Arsenal tuliachana na Gapko toka summer
Man u ametajwa Sana alikuwa na mazungumzo na wakala wa GapkoSasa kama hawajaweka bid, kushindwa kwenye ushawishi kunaingiaje hapo?
Felix kwa Chelsea namuona Kama atakuwa Havertz wa 2 au mount ,Sababu Chelsea had Sasa haijulikani inacheza aina gan ya football ,haijulikani Mount ,Havertz wanacheza position zipiTatizo la Joao ataweza kublend na Bruno? Labda kwa vile anapatikana kwa mkopo pengine risk ndogo,
Na Chelsea wameshakua kama sisi Zamani, Felix si kama tu kina Havertz na Mount? Anakwenda tu kuongeza idadi.