Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Msijikaushe mlikua na gemu leo na matokeo ni kama yanavyoonekana hapo chini
IMG_20221210_215759.jpg
 
Naomba mwenye line up..

Aiweke hapa Kwetu sie mechi bado inaendelea.

Nimepata mwenyewe mamaaezenu machawa.
Screenshot_20221210-225440.jpg


Beki hii lol.

Hiyo middle midfield!! Maajabu
 
Wewe jamaa huna baya ,unaifatilia man u deep , sio kama kina Flano

Wape elimu hasa kina Flano anakwambia Apple wanainunua man u [emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu Aaron Arsenal mimi usinichukulie serious sana, kazi yangu ni kuchangamsha tu jukwaa kwa utani wa hapa na pale, nalipenda zaidi lile jukwaa lenu maana halina tofauti yoyote na jukwaa la jokes/utani.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu Aaron Arsenal mimi usinichukulie serious sana, kazi yangu ni kuchangamsha tu jukwaa kwa utani wa hapa na pale, nalipenda zaidi lile jukwaa lenu maana halina tofauti yoyote na jukwaa la jokes/utani.
Unazingua Sana wewe jamaa , nataka tukae pamoja mechi ya karibuni hapa Arsenal vs man u
 
#MUAcademy U13 baller & Wayne Rooney’s son Kai Rooney with this incredible top bins finish [emoji772]

#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]

man utd |
 
United are interested in Denzel Dumfries, but Inter are intent on keeping him. €40/45 million could lead to negotiations, but they want to make sure he stays.

#FabrizioRomano
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]

man utd |
IMG_20221214_162605_017.jpg
 
FIFA President Gianni Infantino ameishukuru sana Man United na kusema wachezaji wa United ndio wameing'arisha na kuinogesha zaidi michuano ya world cup mwaka huu, Infantino ameendelea kudai kuwa bila ya wachezaji wa Manchester hii michuano isingekua na tofauti yoyote na mashindano ya Ndondo cup.
 
Raisi wa ufaransa bwana Emanuel Macron ametuma ujumbe wa kuishukuru sana United kwa mchezaji wao Rafael Varane kuwavusha mpaka kufikia kwenye fainali za World Cup.

Club ya Manchester United inazidi kushine tu duniani.

Unaambiwa bodi nzima ya Fifa wamepanga kufanya kikao baada ya kumalizika kwa fainali za Wc ili kujadili uwezekano wa kuiingiza timu ya Man United ishiriki michuano ya Wc inayofata kama taifa huru.

Viva United
Viva 10 hag hakika umetuheshimisha.
 
Back
Top Bottom