Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,220
- 44,194
Mkuu hili jukwaa la Man UMorocco washenzi Sana,,,baada ya kumtoa Spain walisema ule ushindi Ni kwa ajili ya waarabu wote na wamorocco!
Sisi ngoz nyeusi tunawashobokea,,, !
Morocco na ulaya Ni karb Sana ndo maana hawajioni Kama waafrica ! Nataka wachapike Kama ngoma !
Mi nimeangalia Mechi ya Senegal na Uingereza kulikuwa na mashabiki wengi wa Morocco naongelea maelfu walikuwa wanawapa Support wenzao wa senegal angalia hicho ki clip nimeweka.