Haizingui mkuu, testKwa matumizi ya simu haitozingua?
2-1Nilishaanza kunenepa na kufurahia mbungi la World Cup.
Baada ya goli la kwanza tu nikaacha ku-stream nafungua Twitter nakuta update ubao unasoma 2 - 0.
Pumbavu zao!!!
3. Arsenal ndio thread inayoongoza kwa Matusi na lugha chafu, mashabiki wao wengi ni wale watoto waliokosa malezi ya pande mbili, members wake wengi ni wale watoto waliolelewa na single mother bila kusahau pia wengi wao ni madereva wa bodaboda hali inayopelekea bomba la matusi muda wote kua wazi, tena zilivyo Nyani hua zinatukanana zenyewe kwa zenyewe.Zifahamu tabia za thread za timu mbalimbali.
1. Manchester United hawa mashabiki wao asilimia kubwa wanaongelea usajili wa mchezaji fulani ukifanyika basi timu yao itakuwa bora. Hii ni trend toka aondoke Ferguson. Bahati mbaya wamesajili sana makocha na wachezaji lakini msiba haujaisha.
2. Manchester city wao ni mashabiki oyaoya, hawaujui mpira bali ni kelele nyingi kwasababu Guardiola anawapa mafanikio. Wengi wao ni wahanga kutoka klabu mbalimbali ambazo hazifanyi vizuri.
3. Arsenal ndio thread inayoongoza kwa uchambuzi wa mpira unaochezwa ndani ya uwanja. Wataalamu wote wa uchambuzi wa soka wapo pale. Pia ndio wanaongoza kupokea kejeli kutokana na kutofanya vizuri kwa misimu mingi ikiwemo kutobeba UCL wala Europa.
4. Chelsea wao thread yao imepambwa na malalamiko. Jamaa kila siku wako na lalamiko jipya. Kwa miaka kumi wamebeba karibu makombe yote makubwa lakini malalamiko hayaishi. Watamlaumu kocha, mmiliki, usajili m-bovu na hata timu pinzani.
5. Liverpool kwenye uzi wao utakuta wanaandika komenti ndefu sana lakini hamna cha maana zaidi ya kuwaongelea FSG, kiburi cha Klopp na majeruhi ya wachezaji. Wachambuzi wao wanapenda pia kutumia viingereza na huwa wanapotea kila timu inapofungwa na kurudi wakishinda.
Mkuu hii option ya sd unawekaje maana siioni? pia asante kwa App nimeitafuta sana hii.Tumia hii app mkuu
Adfree na ina option ya sd ambayo haili sana mb
Mechi ya leo haikuwepo, ila kikawaida kombe la dunia ama Epl inakuwepo,Mkuu hii option ya sd unawekaje maana siioni? pia asante kwa App nimeitafuta sana hii.
Sawa sawaOkay okay View attachment 2439213
Ila usisisahau Morocco tunajambo letu.Lazima mchezaji wa utd ashinde hii Wc
Licha - Argentina
Dalot/Bruno - Portugal
Fred/Anthony/Casemiro- Brazil
Mshindi yupo hapo, akitokea mshindi mwingine Ni ngekewa !!!!
Mtu mbadi huyo.Sofyan Amrabat..huyu mwamba mnamwonaje?
Morocco washenzi Sana,,,baada ya kumtoa Spain walisema ule ushindi Ni kwa ajili ya waarabu wote na wamorocco!Ila usisisahau Morocco tunajambo letu.
Wamekanusha Portugal, walioreport ni Marca na Daily Mail vyombo ambavyo ni hovyo kabisa.Kuna tetesi cr7 anaweza kuondoka kambini means mechi zijazo hatacheza,,, inasemekana hivi karibuni hawana maelewano mazuri na kocha wake,,, huyu jamaa Ni kirusi
Chief-Mkwawa
Mkuu hili jukwaa la Man UMorocco washenzi Sana,,,baada ya kumtoa Spain walisema ule ushindi Ni kwa ajili ya waarabu wote na wamorocco!
Sisi ngoz nyeusi tunawashobokea,,, !
Morocco na ulaya Ni karb Sana ndo maana hawajioni Kama waafrica ! Nataka wachapike Kama ngoma !