Kuna watu walikuwa wanatuona tuna ishu binafsi na Ronaldo sijui..Tushasemaga humu ronado ni mzigo, ronado wa saiv sio km yule wa miaka miwili,mitatu nyuma
😂😂😂😂😂😂 Na jamaa kamind eet ana ego kubwa sana jamaaa. Ule umri akuna kocha duniani anakuchezesha mfululizoKocha wa Ureno kashafanya yake huko..
Tusubirie interview na Piers Morgan..Joking
Varane - FranceLazima mchezaji wa utd ashinde hii Wc
Licha - Argentina
Dalot/Bruno - Portugal
Fred/Anthony/Casemiro- Brazil
Mshindi yupo hapo, akitokea mshindi mwingine Ni ngekewa !!!!
Tumepigwa ndiyo.Wacha kuota Mzee , kwahiyo unakata kusema kwa Anthony tumepigwa au?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kocha wa Ureno Fernando Santos hamuheshimu Ronaldo hivyo na yeye Ronaldo hamuheshimu kocha.Kocha wa Ureno kashafanya yake huko..
Tusubirie interview na Piers Morgan..Joking
Kwenye kukaba yuko vizuri, ila anapoteza sana mipira sijui labda kama ni maelekezo ya mwalimuSofyan Amrabat..huyu mwamba mnamwonaje?
Tumia hii app mkuu
Tumia hii app mkuu
Adfree na ina option ya sd ambayo haili sana mb
Football tv lakini hii ni mod isio na matangazo, wait ni upload kwengineI'm not a robot haiondoki.
Hiyo app inaitwaje?
I'm not a robot haiondoki.
Hiyo app inaitwaje?
Kwa matumizi ya simu haitozingua?![]()
Football_Live_HD_AF_1_0_New_MultiPatch_AIO(1)
MediaFire is a simple to use free service that lets you put all your photos, documents, music, and video in a single place so you can access them anywhere and share them everywhere.www.mediafire.com