D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,646
- 121,056
- Frimpong - beki mbili
- Frankie de jong - kiungo
- Gakpo - mshambuliaji
- Timber - beki wa kati
- Ronaldo
- Tuanzebe
- Brandon williams
- Wan bissaka
- Telles
Hivi David Raum anacheza position gani ?====≈===
- Frimpong - beki mbili
- Frankie de jong - kiungo
- Gakpo - mshambuliaji
- Timber - beki wa kati
- Ronaldo
- Tuanzebe
- Brandon williams
- Wan bissaka
- Telles
Namba tatuHivi David Raum anacheza position gani ?
Wacha kuota Mzee , kwahiyo unakata kusema kwa Anthony tumepigwa au?Pesa walizotumia kumsajili Anthony bora wangemchukua Gakpo.
Hahahaha [emoji1787][emoji23] DahFIFA wamethibitisha kua mashindano ya kombe la dunia mwaka huu yameng'arishwa zaidi na wachezaji wa Manchester United.
Wamesema wanaanda utaratibu ili mashindano yajayo ya World Cup Manchester United ishiriki kama taifa linalojitegemea.
Hakika nimeanza kuamini Man United ni timu ya dunia maana sio kwa kupendwa kiasi hiki na walimwengu.
Nafikir United wawekeze nguvu kwa Robin Gossen kwa upande wa kulia hii huyu ataleta ushindani halisi upande wa kulia.Namba tatu
Ana miaka 28, ni uwezekezaji wenye hatihati kwa beki wa pembeniNafikir United wawekeze nguvu kwa Robin Gossen kwa upande wa kulia hii huyu ataleta ushindani halisi upande wa kulia.
Vipi kuhusu Alex Maehle au Denzen Dumfries.Ana miaka 28, ni uwezekezaji wenye hatihati kwa beki wa pembeni
Anthony anajua... Ila Gakpo anajua zaidi... Gakpo asipofunga anakupa assist za kutosha.. Hapo dawa mi naona wawepo wote tu then tuone nani atafaulu na nani atafeli.. Maana kumekuwa na shida sana kwa wachezaji wa uholanzi kutoboa uingereza. Ni wachache wamehamia uingereza wakatoboaWacha kuota Mzee , kwahiyo unakata kusema kwa Anthony tumepigwa au?
Ni maamuzi ya mwalimu,Sancho anashida gani wakuu?..
Amekuwa nje kwa muda mrefu na sasa hivi hata Spain hajaenda na timu badala yake anafanya training mwenyewe.
Match fitness Hana,,,,ako na program maalumu, ndio maana wamefanya decision asiende Spain abaki Manchester kuendelea kujiweka fit,,,, ! Kumbuka ametoka injury,,,,Sancho anashida gani wakuu?..
Amekuwa nje kwa muda mrefu na sasa hivi hata Spain hajaenda na timu badala yake anafanya training mwenyewe.
[emoji23][emoji23][emoji23] Chelsea wameshaleta offer yao wanamtaka Maguire, muda huu management ipo kwenye kikao cha kupanga bei.Tunataka maguire apewe mkataba mpya na ukapten na acheze mechi zote
Maguire best player in history of man u [emoji41][emoji41]