WapeweICD are seen as a front runner and have a "net worth" of $305bn dollars.
Sir Jim Ratcliffe is also preparing to make the bid to buy Man United.
#RonaLdoFinallYOUT[emoji23][emoji469]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]
man utd |View attachment 2425908
Saudia ni strategic partner wa USA.Urafiki wa Saudi Arabia (Nchi za kiarabu) na USA ni wa kinafiki na wa kimaslahi.
Siku USA akimchoka msaudia atapigwa ban kwenye kila kitu.
Man u kuwa salama itafute tajiri mpya mwenye urafiki wa kudumu na USA.
Glazzer wanataka 7B, sasa hivi kila Bilionea tunahusishwa nae.
Mkuu tutabishana sana hapa, akinunua Newcastle 12 baada ya miaka 12 anapata zaidi ya 20B![]()
Saudi Arabia wants its investors to own Manchester United and Liverpool
Sports minister Prince Abdulaziz bin Turki Al-Faisal revealed the countrys latest sporting ambitions in an interview with Sky News - with the sovereign wealth fund already owning Newcastle and now funding LIV Golfwww.skysports.com
Kama nilivyosema mwanzo.
Man Utd ni hot cake.
Mtu akiinunua kwa £7bn akiongeza thamani, miaka 10 ijayo ataiuza si chini ya £12bn.
Boss, pengine hauko informed sana juu ya hili.City imenunuliwa kwa pesa kidogo na mmiliki ame invest kama $1B to $2B Thamani ya City na UTD haina utofauti.
Boss, kumbuka tunaongelea first world country hapa. Acha hizi story za shithole countries.Glazzer alikuwa hawana hela ya kununua United, kwanini Bank iwape makapuku kama hawa pesa ndefu yote hio kuinunua United? Lazima kuna deal la chini ya kapeti wameingia ili Bank ifaidike, matokeo yake timu ambayo haikuwa na deni kwa zaidi ya miaka 100 imelipa Riba matrilioni ndani ya muda mfupi.
Kwani mkuu miaka 15 ama 20 iliopita Man city si alikuwa anacheza Championship?
Halafu cha ajabu leo Ronaldo kawa MoTM!Bruno Fernandes’ last 4 games for Portugal:
[emoji460][emoji2402] vs. Czech Republic
[emoji777] vs. Spain
[emoji460][emoji460] vs. Nigeria
[emoji2402][emoji2402] vs. Ghana
#RonaLdoFinallYOUT[emoji23][emoji469]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]
man utd |
Hiyo sio investment strategy ya kila mtu.Mkuu tutabishana sana hapa, akinunua Newcastle 12 baada ya miaka 12 anapata zaidi ya 20B
hoja hii sijaikataa, ndio mtu anaweza nunua Man U kwa ajili ya prestige, ama hata kwa long term business in case huna haraka na faida, ila mtu anaengalia faida ya sasa haimake sense kununua UTD.Hiyo sio investment strategy ya kila mtu.
Kuna watu wanapigana vikumbo wanunue formula 1 teams ili tu iwe prestige kwao na hauzi kirahisi ili apate hela. Na unajua hizo formula 1 teams zinavyokula hela kila msimu.
So, sio kila investor anaenunua timu ya michezo ni kwa ajili ya fedha (capital growth or dividend). Roman Abramovich aliinunua Chelsea just for prestige mpaka alipolazimishwa kuiuza na hakua na mpango wa kuiuza.
Wamarekani mara nyingi wanaangalia faida ndo maana watu hawawapendi. Angalia Liverpool, Man Utd au Arsenal. Timu zimeyumba kwasababu hakuna significant investment wanaiweka baada ya kununua timu. Wao wanasubiria dividends tu.
Man Utd ya sasa ni dhahabu kwenye tope. Inunue Man Utd, jenga uwanja wa kisasa, weka facilities zinazohotajika, weka watu wa mpira wa kufanya maamuzi sahihi. Ndani ya misimu 10 thamani ina double.
kitu gani Exactly kisichojulikana? Bilioni moja pound iliotoka UTD kwenda Bank? dividends wanazochukua kina Glazzer? deni ambalo halilipwi mwaka wa 15? haya mambo mkuu yanaongelewa kila siku, yamejaa vyombo vyote vya habari wala sio siri.Boss, kumbuka tunaongelea first world country hapa. Acha hizi story za shithole countries.
Kwa miaka waliyokaa Glazers na underground movements dhidi ya Glazers, ingekuwa hivyo, ingejulikana mapema sana. Kuna Mancunians wapo pale kazi yao ni kufuatilia kila step ya Glazers; wangeyaona hayo mapema mno.
Pili, financial integrity kwa nchi za dunia ya kwanza ni kubwa mno kwa hilo kutojulikana.
tatizo nyie mnaongea ushabiki. ni simple math mimi nakupa 7B iwekeze, una option ya kununuaBoss, pengine hauko informed sana juu ya hili.
Ebu angalia hapa: The World’s Most Valuable Soccer Teams 2022: Real Madrid, Worth $5.1 Billion, Is Back On Top
4.6B vs. 4.25B; halafu angalia operating income. Hapo kumbuka United hana kikombe wala mafanikio makubwa sana uwanjani kwa karibu miaka 10 sasa. Shitty pamoja na mafanikio yao, bado wanalag behind kwa thamani, na operating income yao siyo kubwa kihivyo kuzidi United.
Haya yanasema kitu tofauti na ulichokisema hapo.