Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mpira haupo hivo, nowdays ufungaji wa magoli Ni mgawanyo wa wote had Viungo,

Chelsea walikuwa wanasema wanakosa CF tu ili wabebe epl na wawe timu yakuogopwa ,wakaenda sokon wakatoa £100m kwa Lukaku, kilichotokea unakijua

Unaweza kumleta Halland hapo man u akawa mzururaji tu ,

Nowdays hauhitaji CF ili ufunge magoli, Pep na Klopp miaka mitatu hii walikuwa wanagonga 100 goals bila hao CF,

Arsenal ya Sasa haina typical no.9 ,Lakini inafunga magoli for fun,

Unaweza kwenda sokon ukamleta CF akaja akawa mzururaji, hata Halland ukimuangalia bila kuwekewa mfumo sahihi anakuwa mzururaji, Kuna mechi anagusa mpira mara 7, 8
Nimesema maeneo yaliokuwa changamoto kwetu yamekuwa improved dirisha lililopita.

Kuna wakati mkiwa na mshambuliaji hatari mnakuwa na advantage kwenye defence na kiungo.

Mpira unachezwa mbele tu. Inafungua options kwa wengine kufunga.

Ndo maana nasisitiza, kwa sasa tunapata shida kwenye kupata magoli kwasababu hatuna mfungaji natural.

Ronaldo alikuwa anakosa magoli hata matatu mechi 1.
 
IMG_20221123_071826.jpg

Wahuni wameona hapa hamna mtonyo tena 😁😁😁😁😁😁 , kama wenye hela za matangazo wanachora , kilichobak ni kuuza club chap na kusepa
 
Cr7 mzee ni bora kuliko rashford, elanga, martial, antonty, Sancho kwa pamoja

Mkubali kuwa mmeshindwa kumtumia cr7

Cr7 ni tunu

Kijiji bila wazee ni kikundi cha wahuni

Nyie wapuuzi mjiandae kumtoa mbuzi mwingine wa kafala
Mmeacha mpira, mmekua washirikina washirikana tu
Sinasikia munampango wa kumpa mkataba wa miaka mitatu?
Tunawatakieni kila la kheri na chezaji la Dunia.
 
Vlahovic.

Gapko.

Lautaro Martinez.

Sesko.

Osimhen.

Kane.

Ni muda sasa tuingie sokoni kutafuta goal machine wa kujaribu kukimbizana na watu kama Haalland..na sio tia maji tia maji..Hao hapo juu kuna anayeweza kufanya hiyo kazi??
Luataro wa kawaida,,,,,

Levy hawezi kumuachia Kane,,,

Wengine yes,,,,
 
Tunamilikiwa na Glazers.

Hiyo bank imeambiwa tafuta mteja wa either kuinunua club yote au sehemu ya umiliki.
Kwa jina sawa ila ukiangalia dividends anayopata Glazzer na interest inayokwenda Bank, interest ni nyingi by far, Glazzer hajainunua Man U amekopa Bank na mpaka leo hajalipa deni lipo vile vile,

So yoyote anaeinunua UTD anarithi hilo deni la Bank mpaka lilipwe itaendelea Bank kuchota mpunga mwingi zaidi. Ndio maana unaona utd hainunuliki kirahisi.
 
Ukikopa benki ukaenda kununua gari hilo gari litakuwa la nani?

Hata ukiliuza, wahakikishie wanaokudai hela yao itarudi, hata kutokana na proceeds za mauzo ya hiyo mali. Man utd itauzwa, bank watachukua chao, the rest kinaenda kwa glazers.

Man Utd ni the best deal. Watu wana mpunga wa kuinunua. Elon anatoa $44bn kununua twitter watu washindwe toa $10bn kununua Man Utd? Timu inanunulika, Saudia wanatoa hata $20bn, haiwaumizi kichwa.
 
Mpira haupo hivo, nowdays ufungaji wa magoli Ni mgawanyo wa wote had Viungo,

Chelsea walikuwa wanasema wanakosa CF tu ili wabebe epl na wawe timu yakuogopwa ,wakaenda sokon wakatoa £100m kwa Lukaku, kilichotokea unakijua

Unaweza kumleta Halland hapo man u akawa mzururaji tu ,

Nowdays hauhitaji CF ili ufunge magoli, Pep na Klopp miaka mitatu hii walikuwa wanagonga 100 goals bila hao CF,

Arsenal ya Sasa haina typical no.9 ,Lakini inafunga magoli for fun,

Unaweza kwenda sokon ukamleta CF akaja akawa mzururaji, hata Halland ukimuangalia bila kuwekewa mfumo sahihi anakuwa mzururaji, Kuna mechi anagusa mpira mara 7, 8
As i said. Striking is no 1 priority right now or should be a top priority.
20221123_134635.jpg
 
Ukikopa benki ukaenda kununua gari hilo gari litakuwa la nani?

Hata ukiliuza, wahakikishie wanaokudai hela yao itarudi, hata kutokana na proceeds za mauzo ya hiyo mali. Man utd itauzwa, bank watachukua chao, the rest kinaenda kwa glazers.

Man Utd ni the best deal. Watu wana mpunga wa kuinunua. Elon anatoa $44bn kununua twitter watu washindwe toa $10bn kununua Man Utd? Timu inanunulika, Saudia wanatoa hata $20bn, haiwaumizi kichwa.
Timu za Mpira ni tofauti na kampuni mkuu.

£300M hicho ndio kiasi Saudi wamelipa kununua Newcastle, wamespend kama $200M tayari sasa hivi wapo juu ya Man U,

City imenunuliwa kwa pesa kidogo na mmiliki ame invest kama $1B to $2B Thamani ya City na UTD haina utofauti.

Why mtu atoe $5B ama $6B kununua United na Madeni yake wakati anaweza nunua Burnley aka invest nusu ya hio hela na ikawa kubwa?

Mtu anaenunua UTD ni furaha yake tu, otherwise ndio kama wanavyofanya Glazer kuinyonya timu mpaka tone la mwisho.
 
Man U inamilikiwa na Bank?? Toka lini mkuu??
Sio Glazzer Family ndio wamiliki toka 2005?
Glazzer wanamiliki ndio ila Glazzer wamekopa na Deni halijalipwa, niwakumbushe tu Toka Glazzer anunue United riba iliolipwa ni zaidi ya £1B, tunalipa hela nyingi bank kuliko tunazotumia kusajili na ku improve vitu vingine kama Uwanja.

Glazzer alikuwa hawana hela ya kununua United, kwanini Bank iwape makapuku kama hawa pesa ndefu yote hio kuinunua United? Lazima kuna deal la chini ya kapeti wameingia ili Bank ifaidike, matokeo yake timu ambayo haikuwa na deni kwa zaidi ya miaka 100 imelipa Riba matrilioni ndani ya muda mfupi.

Na issue ya Glazzer kuuza tayari ina ukakasi mkubwa tu, kabla ya Hii taarifa kuna mtu amenunua Hisa za kufa mtu, baada ya hii habari kutoka Hisa zimepanda kwa 14% na zinaendelea kupanda, kuna uwezekano kuna mtu wao Glazzer anataka Quick cash wanacheza na emotion za watu

Ukikopa benki ukaenda kununua gari hilo gari litakuwa la nani?

Hata ukiliuza, wahakikishie wanaokudai hela yao itarudi, hata kutokana na proceeds za mauzo ya hiyo mali. Man utd itauzwa, bank watachukua chao, the rest kinaenda kwa glazers.

Man Utd ni the best deal. Watu wana mpunga wa kuinunua. Elon anatoa $44bn kununua twitter watu washindwe toa $10bn kununua Man Utd? Timu inanunulika, Saudia wanatoa hata $20bn, haiwaumizi kichwa.
 
Bunle
Timu za Mpira ni tofauti na kampuni mkuu.

£300M hicho ndio kiasi Saudi wamelipa kununua Newcastle, wamespend kama $200M tayari sasa hivi wapo juu ya Man U,

City imenunuliwa kwa pesa kidogo na mmiliki ame invest kama $1B to $2B Thamani ya City na UTD haina utofauti.

Why mtu atoe $5B ama $6B kununua United na Madeni yake wakati anaweza nunua Burnley aka invest nusu ya hio hela na ikawa kubwa?

Mtu anaenunua UTD ni furaha yake tu, otherwise ndio kama wanavyofanya Glazer kuinyonya timu mpaka tone la mwisho.
Burnley Mkuu, come on .... Burnley ni kama duka lililo DSM na man UTD ni duka lililo Dubai....

Nani akiwekeza atarudisha haraka zaidi??
 
Wewe ni wakala wake au mke wake, mpaka uwe na taarifa za uhakika juu ya uhamisho wake?

Mimi sijui ataenda team gani, ndiomaana sijataka kulizungumzia.

He is less finished, compared to your club.
Huyo cku hz amekuwa na mihemko sn ktk uandishi wake tofauti na mwanzo.
 
Back
Top Bottom