GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,662
- 17,978
Chief unalinganisha Man U na Burnely,?? Uko serious Mkuu.Timu za Mpira ni tofauti na kampuni mkuu.
£300M hicho ndio kiasi Saudi wamelipa kununua Newcastle, wamespend kama $200M tayari sasa hivi wapo juu ya Man U,
City imenunuliwa kwa pesa kidogo na mmiliki ame invest kama $1B to $2B Thamani ya City na UTD haina utofauti.
Why mtu atoe $5B ama $6B kununua United na Madeni yake wakati anaweza nunua Burnley aka invest nusu ya hio hela na ikawa kubwa?
Mtu anaenunua UTD ni furaha yake tu, otherwise ndio kama wanavyofanya Glazer kuinyonya timu mpaka tone la mwisho.
Timu yenye fans duniani Bil 1.1, ndio uilinganishe na Burnely kweli.??
Kivyovyote Vile Man U ikiuzwa haitauzwa chini ya £4billions.