Ilo ndio kombe lenu since SAFCRISTIANO RONALDO LEAVES MANCHESTER UNITED WITH IMMEDIATE EFFECT [emoji33]
#RonaLdoFinallYOUT[emoji23][emoji469]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]View attachment 2424333
Trust the processCr7 mzee ni bora kuliko rashford, elanga, martial, antonty, Sancho kwa pamoja
Mkubali kuwa mmeshindwa kumtumia cr7
Cr7 ni tunu
Kijiji bila wazee ni kikundi cha wahuni
Nyie wapuuzi mjiandae kumtoa mbuzi mwingine wa kafala
Mmeacha mpira, mmekua washirikina washirikana tu
Kwani saivi unadhani anaenda wapi?..Bayern,Real Madrid au wapi?..Big No.Afadhali mashabiki wa CR7 tutapumua sasa, maana ilikuwa inatukera sana kumuona kwenye team iliyokufa kitambo.
Nitaishabikia Man Utd na ubovu wake kwa amani bila presha, maana kuna muda ilikuwa inapigwa kisha nabaki kumskikitia CR7.
Katafute team nzuri ustaafu vizuri legend[emoji1535].
Wewe ni wakala wake au mke wake, mpaka uwe na taarifa za uhakika juu ya uhamisho wake?Kwani saivi unadhani anaenda wapi?..Bayern,Real Madrid au wapi?..Big No.
Ni either Sporting Lisbon,Roma(Unlikely),Lazio..au USA MLS.
He is finished.