Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kingine mmeona kusajili mchezaji anayeforce kuja ina msaada, Martinez, Anthony, malacia watu bana.

Ericksen na casemiro wanasaidia kutoa depth na kuondokana na mcfred

Forward anunuliwe ambaye anataka acheze man u.

Ronaldo kwa heshima asepe January.

Hii world cup Portugal shauri yao Ronaldo ndie atakua tatizo kwao

Akimeza ustaa awe mtu wa kuwamotivate from bench awe anaingia second half naona wanaweza fika mbali.

Sasa akiwa uwanjani wachezaji watakua wanampa pass kuepusha lawama.

Akikabwa kwisha.
 
Huenda timu ya taifa akang'aa kama vile sio Ronaldo wa Man United.
Binafsi namuombea ang'ae ili kuvutia timu nyingi kuhitaji huduma yake kwenye dirisha dogo.
Asipong'aa na timu ya taifa hakuna timu yoyote itakayojitokeza kumuhitaji January.
 
Mkuu mbona unamponda sn kocha wkt yuko poa tu kulinganisha na waliopita. Unajua sikuelewi kabisa.
Kikosi kiko vizuri sana. Shida yake hajui nani yuko on-fire aanze. Wachezaji wana msimu, kuna wakati mchezaji anakuwa wa-moto sana inatakiwa wakati huo aanza kila mechi. Wiki tatu zilizopita Fred alikuwa moto wa kuotea mbali, lakini akaamua kumuweka benchi mazima. Kweli unamuweka bench Garnacho unaanza na Elanga!!!
 
Ila kiukweli mie kuna vitu MARTINEZ ananikera sana. Anatoa pasi mbovu sana wakati timu ikiwa imepanda juu.

Ukitaka kuelewa aina ya mipira ninayoongelea angalia Match ya EPL vs Aston Villa goli la 3 MUFC wanafungwa.

Pia leo kafanya uzembe kama huo tukakoswa.
 
IMG_2340.jpg

Huyu jamaa ni mnyama sana
 
Kikosi kiko vizuri sana. Shida yake hajui nani yuko on-fire aanze. Wachezaji wana msimu, kuna wakati mchezaji anakuwa wa-moto sana inatakiwa wakati huo aanza kila mechi. Wiki tatu zilizopita Fred alikuwa moto wa kuotea mbali, lakini akaamua kumuweka benchi mazima. Kweli unamuweka bench Garnacho unaanza na Elanga!!!

Hata elanga hakuwa vibaya hakukuwa vizur kwenye umaliziaji kipind cha kwanza kama kungekuwa na umakini si chini ya goli 3 zingepatikana hapo tayar timu pinzan inatoka mchezon pia shida bruno hakuwa kwenye kiwango kizur leo halafu hata kukosekana kwa dalot ni shida
 
Back
Top Bottom