mtzmweusi
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 8,700
- 9,070
Eti anaanza na takataka elangaAlejandri GARNACHOOOOOO..katuokoa dakika ya mwisho. Juhudi zake binafsi Nitashangaa kocha mjinga huyu akiendelea kumuacha nje mechi zijazo.
1-2
Eti anaanza na takataka elangaAlejandri GARNACHOOOOOO..katuokoa dakika ya mwisho. Juhudi zake binafsi Nitashangaa kocha mjinga huyu akiendelea kumuacha nje mechi zijazo.
1-2
Mkuu mbona unamponda sn kocha wkt yuko poa tu kulinganisha na waliopita. Unajua sikuelewi kabisa.Alejandri GARNACHOOOOOO..katuokoa dakika ya mwisho. Juhudi zake binafsi Nitashangaa kocha mjinga huyu akiendelea kumuacha nje mechi zijazo.
1-2
Huyu mtoto unayesema si level yake umemuona? Umeona goli hilo Dejan7?Hii mechi haikuwa level ya yule mtoto.
Leta msimamoAlejandri GARNACHOOOOOO..katuokoa dakika ya mwisho. Juhudi zake binafsi Nitashangaa kocha mjinga huyu akiendelea kumuacha nje mechi zijazo.
1-2
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] shida. Fulham kakutana na mtumbwi wa vibwengo kwake kabisaJINI KATOKA MGANGA HOI
Kocha ameshaanza kuwa na mambo ya kifala kwenye selections zake.Alejandri GARNACHOOOOOO..katuokoa dakika ya mwisho. Juhudi zake binafsi Nitashangaa kocha mjinga huyu akiendelea kumuacha nje mechi zijazo.
1-2
Hasa striking.Kwasasa hatuna
Kabisa. Nilikuwa naongea na jamaa mmoja hapa kuhusu kutuliza mtu anapiga kichwa hovyo sana.At times wachezaji wetu wanacheza kama mazuzu..sehemu ya kutuliza na kushoot mtu anapiga kakichwa uchwara utadhani bibi yake ndo kipa golini..sehemu ya kutoa assist mtu anatoa macho..yaani hovyo kabisa.
Thanks to Garnacho..but this is undeserved win.
Boss kwema?Hata Kama Mpira Unadunda Bado Sijaiyona Manchester United Ya Kuifunga Fulham..!
Fulham 2-1 Manchester United [emoji1621]
Boss, sasa wewe si Glazers wangekupa timu? Kocha yupo na wachezaji kila siku Carrington, hatuwezi kujua zaidi yake.KUNA MTU ANAWEZA KUNISAIDIA ANIAMBIE KWA NINI HUYU KOCHA NI MJINGA KIASI HIKI. GARNACHO, TOMINAY, FRED...SIJUI KWA NINI HAWAANZI ILI TUANGALIE MECHI KWA RAHA. BIA YANGU SASA HAPA NAKUNYWA KWA SHIDAAAA [emoji35][emoji35][emoji35]
Boss, ukijua kwanini kuna 'Fergie time' huwezi kushangaa hili!Hili litimu litakuja kutuua kwa presha.
Japo tumepata point 3 ila muda wote roho mkononi.
Wachezaji wetu wakishapa goli la kuongoza hua wanarelax sana wanajiona tayari wameshamaliza kazi yao nyumbu kabisa hawa.
Lisandro na DeGea unawaacha wapi?Moto tumepelekewa mwingi mnoo
Ngoma tumechezeshwa vyakutosha
Pongezi kwa baadhi ya wachezaji mfano mimi nampongeza Malacia ambae juhudi zake uwez kuzsikia midomoni lakini dogo kakata Umeme kapangua pasi nyingi sana zilizokua zinaelekea golini..Ericksen,,Gernacho aisee katuokoa sana kilio changu kwake ni kilekile STAMINA dogo hana nguvu kabsa ata pale kasukumwa kidogo tu akapaa kulee