Mwache apumzike tuHivi Bissaka yupo wapi ?
Kwakeli atusaidie sanaMungu saidia.![]()

Hii mechi haikuwa level ya yule mtoto.Napendelea Garnacho angeanza badala ya Elanga.
Yaah upande wa ElangaGreenwood ameharibu maisha yake sana. Nammiss! Kuna chances ambazo angetufurahisha sana humu leo.
ha! Eti!Hii mechi haikuwa level ya yule mtoto.
Talent ipo,,,, mmbinafsi Sana !Greenwood ameharibu maisha yake sana. Nammiss! Kuna chances ambazo angetufurahisha sana humu leo.
Umeona eeeh, tena ni matatu ya waziBasi tu,,,, hii game tulikua tunaimaliza first half,,,, bahati haipo kwetu Kuna magoli kama mawili tumeyakosa
Nani?Talent ipo,,,, mmbinafsi Sana !
Ofcourse..Atakiwasha na Fernandes World cupHivi huyu Palinha ndiyo yule alikuwa Sporting Lisbon last season ?