DahMcNeill sema bado sana
Ila ana mbwembwe nyingi zisizo na mshikowabongo kwenye ubora wenu nawaona, Sancho angekuwepo si ange cover nafasi ya Antony kulia badala ya Elanga?
Sancho sio no yake hiyo mbona.Sancho akirudi ana kazi.
Ni Anthony?Sancho sio no yake hiyo mbona.
ila ni mara 10 ya Elanga, kama mkuu una realise mechi kadhaa hizi Bila Antony kulia kumepwaya sana, Sancho ni mzuri pande zote 2, Mechi iliopita pia uliona tuliforce Rashford sababu hakuna mtu kule.Ila ana mbwembwe nyingi zisizo na mshiko
Sancho anachezaga tu lakini kiuhalisia sio no yake yeye anapaswa kupambana na Anthony, Rashford ndo anatakiwa kupambana na Garnacho.Ni Anthony?
Sancho akirudi ana kazi.
Ile mechi ya Villa park wachezaji walikuwa na fatigue ya uchovu wa safari ya SpainSema mda mwngne tunaujuaji sana mashabiki kila chimbo la Man U lilikua linabeza kikosi cha ETH leo ila kimecheza vzur kuanzia dakika ya 0 mpaka 90 kimecheza kuliko kile cha villa park na Unai hajafanya mabadiriko makuubwa kina Ramsey,Watkins waliotukaanga ndo walewale wa Leo sasa najiuliza tulikwama wapi Villa park Bruno nae sijui anamapepo game nyngne mpaka unataman kumchapa ila game nyngne anakiwasha kama hii ya leo
Gernacho future is Bright...Rash hatukudai leo..Martial unakaa sana offside...Malacia,Maguire Kakichafua MNOO NA KADI JUU ,,UYU KIPA APEWE game nzito tuone uwezo wake villa hawajapiga shot on target nyingii tuone uwezo wake wa saves
FT 4-2
huyu mtoto Garnacho ni mzuriiii, Sancho auzwe kabsaaa