Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huyu Mtoto Garnacho ni shida aisee. Ashley Young kakimbizwa mpaka katoka. Wengine wanaburuzwa tu.
Dogo mpira damuni ila Shida ni ileile MLAINI sanaaa afundishwe ubandidu yaani ukimchezea kiatu anawewe kwan Gavi na Pedri wamepataje Golden boy ebu ajifunze kwa Foden sema kanawakaanga sana ila injury kugusa
 
Ametoa assist tayari
 
Garnacho..Garnacho..Garnachoooooo
Winga hatari huyu, amewatesa sana Villa. SANCHO AISHIE HUKO HUKO ASIRUDI TENA HAPA.
huyu mtoto Garnacho ni mzuriiii, Sancho auzwe kabsaaa
wabongo kwenye ubora wenu nawaona, Sancho angekuwepo si ange cover nafasi ya Antony kulia badala ya Elanga?
 
Back
Top Bottom