Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,796
Dah wenzetu wako mbali na ratiba, bongo kila kukicha ratiba inaingilianaDates for the 2023/24 Premier League season have been confirmed with it kicking off on August 12 and finishing on May 19 2024.
#GlazerOUT
#GGMU[emoji123][emoji41]
manutd View attachment 2411287
F..uck you Ferdinand..Could the World Cup be beneficial for Cristiano Ronaldo? [emoji55]
#GlazerOUT
#GGMU[emoji123][emoji41]
manutd View attachment 2411270
Mpaka sasa sajili za Ten Hag zimeonesha mafanikio.F..uck you Ferdinand..
Huyu baada ya World cup inabidi aondoke..
Ni aibu kuendelea kuwa na Matumaini na mtu kama Ronaldo huyu wa miaka 38.
Tuingie strongly sokoni kuboresha our attacking options(Namba tisa).
Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha[emoji16][emoji16]
Prediction
Manchester united 3 aston villa 0View attachment 2412020
Ni kweli mkuu....kati tumpatie Jonjo Shelvey apambane na fredi, mbele pale tungepata ata mtu kama Calvert Lewin.Mpaka sasa sajili za Ten Hag zimeonesha mafanikio.
Dirisha lijalo tuongeze watu muhimu hasa attacking na ku reinforce midfield.
Tukipata wachezaji wanne kwenye hizo sehemu tunaweza ongea habari za ubingwa.
Ata ETH ataweka Full ni wachache tu kina gernacho,VDB,Zidane ndo wataongezekaUnai alivyo na sifa anaweza weka full mkoko.
Good Ebening!