trigeminal
JF-Expert Member
- Jan 9, 2015
- 1,963
- 2,384
hatimae mikeka yangu yote 16 imechanika
Good Ebening.Kubwa jinga letu la wikiiiiiiiiiiiiii
Ni Nyumbu Fc
Wewe ndio yule ARV wa zamani?NYINGI SANA..SIJUI KWA NINI WATU HUWA HAWAONI JUHUDI NA UPAMBANAJI WA RASHFORD.
Bora hata nyie kenge mlikua mnatingisha tingisha mikia ila sisi Manyumbu aiseeee tumerudi kwenye default mode.Good ebening nyumbu FC
Amin kwamba.. kocha msen kwl sio kdgKuna mstari mwembamba sana kumtofautisha OGS na ENT bora sosha uyu Ten hag mseng..e tu na yeye atoke tu
Martial +Rashford upfront>>>>>Ronaldo +Rashford.Imagine hao wote wawili Martial na Rashford waanze, maana ake unakuwa na upungufu wa wachezaji wawili ndani.
Martial na Rashford wote ni wavivu hawapress ata kama vijana...Ronaldo kachoka ndioMartial +Rashford upfront>>>>>Ronaldo +Rashford.
Kubali kataa..huo ndo ukweli.
I'm not saying they are good enough ila ni bora kuanza nao kuliko huyu Ronaldo.
Halafu ukacheze wewe sio!!??Mart
Martial na Rashford wote ni wavivu hawapress ata kama vijana...Ronaldo kachoka ndio
Ila hii timu ata Haaland akija atapata sana shida kufunga
We imagine dakika 90 hakuna clear chance yoyote iliyotengenezwa...hakuna cross yoyote iliyopigwa na kuleta taharuki...kona sijui 5 hakuna hata moja yenye matokeo
Goli lenyewe la kujifunga
Hii timu wachezaji kama kumi inabidi waondoke
1. Maguire
2. Lindelof
3. Fred
4. Mc tominay
5. Rashford
6. VDB
7. Elanga
8. Ronaldo
9. Sancho
10. Fernandes
Not good enough
Aston Villa lazima watashinda OTNilivyoona tu kikosi nilijua kitachotokea sijui kwanini kocha kamuacha fred nje dhidi ya DVB.
Ok next game aston villa wanakuja OT Alhamis tutajua wametuotea au mbinu hatuna.
Yatawakuta tuKubwa jinga letu la wikiiiiiiiiiiiiii
Ni Nyumbu Fc
Wangebaki wangezuia nini?POOR SUBSTITUTION..KAMTOA SHAW NA GARNACHO!!!!!
Halafu ukacheze wewe sio!!??
Elanga kaingia kafanya nini zaidi ya kupoteza mipira...malacia hajatoa cross hata moja ya kusingizia...Wangebaki wangezuia nini?
Muache kocha ajenge team, kwanza huu msimu sina cha kumdai kocha wala hao wachezaji kwenye EPL labda ueroper huko angalau wafike nusu au fainali.Mart
Martial na Rashford wote ni wavivu hawapress ata kama vijana...Ronaldo kachoka ndio
Ila hii timu ata Haaland akija atapata sana shida kufunga
We imagine dakika 90 hakuna clear chance yoyote iliyotengenezwa...hakuna cross yoyote iliyopigwa na kuleta taharuki...kona sijui 5 hakuna hata moja yenye matokeo
Goli lenyewe la kujifunga
Hii timu wachezaji kama kumi inabidi waondoke
1. Maguire
2. Lindelof
3. Fred
4. Mc tominay
5. Rashford
6. VDB
7. Elanga
8. Ronaldo
9. Sancho
10. Fernandes
Not good enough