Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

sijui kocha alikula nini leo, kwanza mimi sikutegemea VDB kuanza. Kocha amekuwa na maamuzi mabaya sana leo.

Kingine ni pengo la Varane, Lindelof anakaba kwa macho,goli la tatu limeniuma sana, anamsindikiza mshambuliaji hadi anatoa pasi kama mpumbavu.
Hayo makosa huwa anayafanya kwa kurudia rudia, yeye na magwaya
 
Nilivyoona tu kikosi nilijua kitachotokea sijui kwanini kocha kamuacha fred nje dhidi ya DVB.

Ok next game aston villa wanakuja OT Alhamis tutajua wametuotea au mbinu hatuna.
 
Bora hata Chelsea wamecheza mpira wa kiume ila nyumbu walikua wanaonyesha unyumbu wao kwa dakika zote 95.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nakuona umetype kwa uchungu sana.

Good ebening
 
Back
Top Bottom