The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Tatizo style ya VDB hawezi kufit pale utd, jamaa hataki kukaa na mpira hata sekunde moja.
HOVYO KABISA MJINGA HUYU...UNDUGU NA KOCHA UNAMFANYA AANZE.
VDB ni mzigo kabisa, wale waliokuwa wanaamini huyu dogo ni mzuri ila hapewi nafasi nadhani wanaweza kuona dogo hamna kitu.
NASEMA SIKU ZOTE WATU WANABIIISHA. FRED NI JIWE, FRED MAPAFU YA MBWA.EtH anafanya mambo ya kijinga..
Casemiro angeanza na Fred hapo kati then Erisken asogee juu.
MuogaTatizo style ya VDB hawezi kufit pale utd, jamaa hataki kukaa na mpira hata sekunde moja.
Muoga
Hehehehe itakuwa mwisho wako kuja kwenye jukwaa la Arsenal Aston Villa 3Kwa icho kikosi nilijua tu hapo kati pameoza kabisa sioni tukiludisha pasipo kufanya sub za mapema.
Very poor yaaniHili goli la 3 limeonyesha kuwa tutatatizo kubwa la morali na mbinu. Soo poor.
Pakiti ya condom imeisha tunafungua mpya