MrConveter
JF-Expert Member
- Jul 4, 2017
- 1,291
- 2,368
Nyumbuzi mko wapi nyie kenge, tokeni mapangoni mlikojificha, top four ya konyo.
#TenHag out
Kuna mstari mwembamba sana kumtofautisha OGS na ENT bora sosha uyu Ten hag mseng..e tu na yeye atoke tu
Wewe sio shabiki wa Manchester mbonaKuna mstari mwembamba sana kumtofautisha OGS na ENT bora sosha uyu Ten hag mseng..e tu na yeye atoke tu
Van de beek hakuna kitu huyu ni wa kuachwa kabisa hana atakaloleta kwa timu
Kocha hana akili badala ya kufanya sub sijui anasubiri nini
mimi naamini ten hag ni elite coach mpe muda aondoe deadwoods wote asajili timu yake na atengeneze chemistry baadae tumuhukumuMiongoni mwa kazi ngumu ni pa1 na kuwa KOCHA
maana unafundisha lkn cku ya mechi huchezi na bahati mbaya zaidi timu ikifungwa mema yote ya mechi ulizo shinda yanasahaulika inakumbukwa game uliyopteza......
Sisi 2nasema In ETG we trust the process
mech ngapi amewaokoa mkuu?Huyu Rashford ni miongoni mwa takataka zinazolelewa pale utd na zinazotu cost a lot.
msisahau mnacheza na timu yenye kocha mpya,morali ya wachezaji always i akuwaga juu sana maana hata wachovu na waliosahaulika na starter huwa wanajaribu kujibrand ili kupata nambaMan utd wangese sana pale mbele utoto mwingi, hawaelewi wanataka nini
mech ngapi amewaokoa mkuu?
lakini usisahau emery ni nani katika ulimwengu wa sokaTuna takataka nyingi sana kwenye timu yetu aisee.