Kuna legend wenu nadhan Roy Keane alisema mlicheza vzr dhidi ya Spurs na Chelsea sababu hizo Timu Ni SHITGemu ya pili hii kocha anabugi kwny team selection
1. ETH wa hovyo sana.
Ni process mpaka kufikia viwango vya juu ila kusema timu haija-improve chochote ni uongo labda useme tu timu haina consistency kiuchezaji ila jambo la muhimu kabisa tunapata matokeo mazuri hivi karibuni.Timu haija improve chochote upande wa kufungua defence line za wapinzan wetu.. since kina mourinnho mpk saiv ten hag tunasafa sn kuzifunga timu zenye defence mentality..
Mbele hakuna ubunifu pasi inatoka kushoto inapelekwa kati inaenda kulia then inarudishwa kwa kipa
Anataka zimamoto hajui Ni process had timu ianze kucheza kwa kuelewanaNi process mpaka kufikia viwango vya juu ila kusema timu haija-improve chochote ni uongo labda useme tu timu haina consistency kiuchezaji ila jambo la muhimu kabisa tunapata matokeo mazuri hivi karibuni.
Defensively tunajitahidi angalau tunaweza kulinda goli. Kwa Ten Hag tunaona mwanga maana wachezaji aliowaleta wote wamekuwa msaada mkubwa kwetu msimu huu. Uvumilivu unahitajika sana.
Umeongea point kubwa kuanzia ulaya mpk bongo.Anataka zimamoto hajui Ni process had timu ianze kucheza kwa kuelewana
Mpira wa bongo umetuharibu Sana,
Mfano Yanga walitakiwa wawekeze Tena kwa kuondoa takataka ,then Baada ya misimu miwili wangecheza hata makund CAF,
Sasa kwakuwa soka la Africa halina project tumezoea kutaka zimamoto ,Basi tunataka na ulaya hivo hivo kitu ambacho sikweli
Kwa Ten hag Kuna mabadiliko Tena hasa defense , hatua kwa hatua atafikia had ushambuliaji .