Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nisaidie kujua kwanini Elanga upande wa kulia kama mbadala wa Anthony badala ya Pellistri ambaye binafsi namuona kiuwezo yuko juu ya Elanga?
Nafikiri ishu ni fitness ya mwili, pellistri alikuwa majeruhi kwa takribani miezi mitatu.

Jambo zuri kwa sasa tuna mwalimu anayeamini zaidi performance ndani ya uwanja, pellistri akifanya vizuri anaweza kumuondoa elanga
 
Mh mechi mbona kama itakuwa na ukata sana wa magoli hii.
Screenshot_20221103-185207.jpg
 
Hii timu dhaifu sn,yani hawa watoto wanafanya wanavyotaka.Man hata kuwatuliza hawawezi
 
Back
Top Bottom