Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Anataka zimamoto hajui Ni process had timu ianze kucheza kwa kuelewana

Mpira wa bongo umetuharibu Sana,

Mfano Yanga walitakiwa wawekeze Tena kwa kuondoa takataka ,then Baada ya misimu miwili wangecheza hata makund CAF,


Sasa kwakuwa soka la Africa halina project tumezoea kutaka zimamoto ,Basi tunataka na ulaya hivo hivo kitu ambacho sikweli

Kwa Ten hag Kuna mabadiliko Tena hasa defense , hatua kwa hatua atafikia had ushambuliaji .
Ninacho kukubali mdogo wangu hauna dachi, kwenye utani unatania kwenye ukwi unaongea.
 
Ninacho kukubali mdogo wangu hauna dachi, kwenye utani unatania kwenye ukwi unaongea.
Katika mashabiki wa Arsenal wa JF huyu jamaa ni namba moja ninaemkubali, hua kabla hata ya kusoma post yake cha kwanza lazima ni like then ndio niendelee kuchota busara zake.
hamis77 wewe jamaa sio shabiki wa mpira bali ni mpenzi wa soccer aliyekosea kuchagua timu ya kushangilia na kwenda kuangukia kule kwenye fungu la kukosa(AsaniAli)
 
mara ya mwisho kufungwa goli kwa open play ilikuwa dhidi ya everton.
chelsea walitufunga goli kwa njia ya penalty

everton 1 - man utd 2
man utd 1 - omonia 0
man utd 0 - newcastle 0
man utd 2 - tottenham 0
chelsea 1 - man utd 1
man utd 3 - sheriff 0
man utd 1 - west ham 0
real sociedad 0 - man utd 1
Bado kuna mtu atakuambia hakuna mabadiliko, hawa wala mihogo hawa wana mambo kweli
 
WACHEZAJI WEUSI HAWANA NAFASI HAPO..UNITED YETU NAONA INA KA-UBAGUZI KWA SASA, FUATILIA UTAGUNDUA.
tatizo sio rangi ya ngozi tatizo ni uwezo uwanjani... kwa fikra hizi Maguire angekuwa mweusi mngesema anabaguliwa... Yorke na Cole wote ni weusi na hadi leo wanaheshimika kutokana na uwezo wao. rashford malacia na elanga ni weusi wengine waanaopewa nafasi Kubwa ya kutamba
 
Itakuwa ni huzuni sana in Kunze's voice..kama hatutamaliza top four.

Chelsea tia maji,Liverpool tia maji,Spurs always being Spurs..

Top four is a must..EtH asicheke na kima.
Yes itkua huzuni tukikosa but mimi nitakua sina shida hata tukikosa as long as timu itakua imeimprove kwa baadh ya maeneo yaliyotusumbua miaka mingi,hasa kiungo na defence.

#trust the process,ten hag is our messiah
 
Official: Feyenoord are seeking a date to bring #MUFC's Tyrell Malacia back to the club to give him a proper farewell in front of the club’s fans.

#GlazerOUT
#GGMU

manutd
IMG_20221105_113525_825.jpg
 
Back
Top Bottom