Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Dalot....most improved player under EtH.
Yes Dalot ameimprove sana na mara nyingi amekuwa akicheza vizuri hata kama timu haijaperform sana.

Uvumilivu ni muhimu kwa baadhi ya wachezaji.

Wakati tunastruggle kupata right wing niliwahi kusema kama Dalot hafai kucheza fullback Ole ambadilishe acheze right wing.

Anatupa uwiano mzuri japokuwa timu yetu bado mashambulizi yake mengi tunapitia kushoto.
 
Waliokuwa wanamponda ni wajinga tu..

Walikuwa hawajui ni mzuri kwenye nini..kila siku anawa-prove wrong.
De Gea kwa attributes za modern goal keepers hana ni kama Guillermo Ochoa tu.

Ila kwenye shot stopping yupo vizuri kadri timu inavyoimprove naye huwa anaimprove exponentially.

Msimu wa pili wa Ole tulioshika nafasi ya pili kwenye Ligi De Gea pia alionekana kuimprove sana.

Jambo linaloleta shida ni pale ambapo anafungwa magoli ya makosa yanayofana.
 
West ham united walikuwa bora kuliko manchester united.

Baadhi ya mechi unahitaji alama 3 haijalishi umezipataje.
Siku kama hizi hutokea katika football ligi ya Uingereza ina vilabu vingi sana ambavyo kwenye ligi zingine wangekuwa title contenders.

Kuna timu zingine zinaanza ligi vibaya lakini ghafla wanarudi kwenye form ukikutana nao lazima ukutane na upinzani.

Kuna timu zingine ni ngumu tu dhidi ya timu fulani fulani.mfano Everton, Westham kwa United.
 
The Cristiano effect.

#GlazerOUT
#GGMU

manutd
IMG_20221101_124539_379.jpg
 
Mwana KULITAFUTA Mwana KULIPATA .

Paul Pogba will miss the Qatar 2022 World Cup due to new injury, confirmed by his agent Rafaela Pimenta.

Pogba has not played one single official game with Juventus since he signed the contract last July.
 
Official: In preparation for the restart of the Premier League in late December, Erik ten Hag, his coaching staff and those #MUFC players who will not feature in the World Cup will participate in a week-long winter training camp in Cadiz during the December winter break.

#GlazerOUT
#GGMU

manutd
IMG_20221102_112210_654.jpg
 
Lisandro Martínez has bypassed 1,103 opponents in total with his passes in the Premier League this season, the most of any Manchester United player:

1103 - Lisandro Martínez
890 - Diogo Dalot
635 - Christian Eriksen
565 - Luke Shaw
515 - Raphaël Varane

[opta]

#GlazerOUT
#GGMU

manutd
 
Official: In preparation for the restart of the Premier League in late December, Erik ten Hag, his coaching staff and those #MUFC players who will not feature in the World Cup will participate in a week-long winter training camp in Cadiz during the December winter break.

#GlazerOUT
#GGMU

manutd View attachment 2404798
I like this.

Wakitoka huko watakuwa wameiva hatare.
 
Back
Top Bottom