jadon sancho na athony bado ni majeruhi hivyo hawatosafiri kuelekea spain.
kwa mara nyengine tena kesho tutacheza tukiwa pungufu uwanjani.
anthony elanga kuchezeshwa upande wa kulia ni sawa sawa na kuwa pungufu uwanjani.
huo ndio mtazamo wangu.
Wachezaji watakaosafiri na timu leo:
Bishop, Dubravka, Vitek, De Gea,
Dalot, Wan-Bissaka, Martinez, Lindelof, Maguire, Shaw, Malacia,
McTominay, Fernandes, Fred, Iqbal, Casemiro, Eriksen, Van de Beek,
Shoretire, Elanga, Rashford, Ronaldo, Martial, Garnacho, Pellistri [MEN]