Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Erik ten Hag on Dalot: "I have to mention Man Utd need two good full-backs because we have a lot of games to play."
---‐-------'

Nileteeni jeremie frimpong wa bayer leverkusen. Ndicho anachomaanisha ten hag.

Kwaheri wan bissaka
January tukimrelease CR7 by mutual agreements naamini patner wa dalot atakuja
 
Don't forget to Building your house with us
we design
we estimating materials
we modelling
we construct
we finishing
finally
we like to work with you our customer
PXL_20221031_051448888.jpg
 
Hii timu muda wote inamwaga maji
haina mfumo sahihi
Magoli yao mengi ni ya Mungu nisaidie
ronaldo arudi benchi tu
pasi ya kawaida anashindwa kupiga
Kwenye kupiga pasi siyo Ronaldo tu yani wale wangese wanafanya mambo yawe magumu sana.

Pasi za kawaida tu hawawezi kupiga kitu kinachopelekea tunapoteza mipira haraka.
 
Kwenye kupiga pasi siyo Ronaldo tu yani wale wangese wanafanya mambo yawe magumu sana.

Pasi za kawaida tu hawawezi kupiga kitu kinachopelekea tunapoteza mipira haraka.
CR 7 jana alilazimisha sana mwili wake kufanya pressing ili kuonesha umuhimu wake lakini bado mwili ulkua unagoma tu.

Luke,Dalot,De gea & Licha walijitahidi sana.

Maguire,CR7,Fred, sioni umuhimu wao msimu ujao.
 
Alicheza na samata huyu genk na ndie aliekua anamsugulisha benchi.....

Mara nyingi sub ya trossard alikua anaingia popa ila dogo kahangaika maana aliuzwa leverkusen ndio akaja epl
Utakuwa unamzungumzia Leon Bailey ndiye aliyeuzwa Bayer Leverkusen kwa sasa yupo Aston Villa.

Leandro Trossad alitoka Genk kwenda Brighton moja kwa moja.
 
Man utd inashida gani mbona inacheza mpira slow sana, hawana kasi na wanaruhusu kushambuliwa zaidi na wapinzani, tatizo nini kwani jamani

Halmanusura wasawazishe jana wale jamaa
Front three na Midefield yetu hawaretain possession kiujumla timu yetu siyo press resistant ukikutana na timu inayopress sana.
 
Dalot....most improved player under EtH.
Yes Dalot ameimprove sana na mara nyingi amekuwa akicheza vizuri hata kama timu haijaperform sana.

Uvumilivu ni muhimu kwa baadhi ya wachezaji.

Wakati tunastruggle kupata right wing niliwahi kusema kama Dalot hafai kucheza fullback Ole ambadilishe acheze right wing.

Anatupa uwiano mzuri japokuwa timu yetu bado mashambulizi yake mengi tunapitia kushoto.
 
Waliokuwa wanamponda ni wajinga tu..

Walikuwa hawajui ni mzuri kwenye nini..kila siku anawa-prove wrong.
De Gea kwa attributes za modern goal keepers hana ni kama Guillermo Ochoa tu.

Ila kwenye shot stopping yupo vizuri kadri timu inavyoimprove naye huwa anaimprove exponentially.

Msimu wa pili wa Ole tulioshika nafasi ya pili kwenye Ligi De Gea pia alionekana kuimprove sana.

Jambo linaloleta shida ni pale ambapo anafungwa magoli ya makosa yanayofana.
 
West ham united walikuwa bora kuliko manchester united.

Baadhi ya mechi unahitaji alama 3 haijalishi umezipataje.
Siku kama hizi hutokea katika football ligi ya Uingereza ina vilabu vingi sana ambavyo kwenye ligi zingine wangekuwa title contenders.

Kuna timu zingine zinaanza ligi vibaya lakini ghafla wanarudi kwenye form ukikutana nao lazima ukutane na upinzani.

Kuna timu zingine ni ngumu tu dhidi ya timu fulani fulani.mfano Everton, Westham kwa United.
 
Back
Top Bottom