Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwenye Europa munawafunga wavimba macho timu ya mchangani alafu munasema muna timu🤣🤣🤣🤣
 
May be na umri mdogo but hujajibu unaruka ruka is it true kuwa Ronaldo amemzidi kila kitu Ten Hag?nataka unijibu YES OR NO achana na story

PSG ni moja ya reference ambayo imewashinda makocha wengi kuimanage coz ya mambo kama haya Ronaldo anampa headache sana Ten Hag why hutaki kukubali?hakumpanga vs Manchester City Dunia ikaongea Vs Spurs dunia imeongea (ushindi umefunikwa na Ronaldo kuwa snub vs Chelsea) nachosema Ronaldo anamuumiza sana Ten Hag anatamani contract ya Ronaldo iishe na he knows atakuwa na 38

Ronaldo ana uwezo wa kumvimbia Ten Hag na dunia ikampa support hata humu Jukwaani kuna wadau wamegawanyika wanaamini bila Ronaldo no ushindi so solution ni Ronaldo amalize contract aagwe kwa heshima kuna siku ni lazima Ronaldo atarudi United akiwa coach au Technical Director
Achana na vibwengo wa humu, hawatakuelewa , Heshima ya Ronaldo OT itakuwa ya Karne na Karne , huyo Ten Hag ni suala la mda tuu kutimuliwa pale....!! Mpak sasa hakuna striker wa kumkalisha bench Ronaldo pale Man u, sku akiwa benchi magoli yanafungwa na midfielders , ndo nin sasa ? Alaf unamweka mtu bench , kuna namna ya kumanage high profile players , huwez kuwaongoza Kwa usawa na wachezaji wengine , hyo ipo wazi na makocha wenye akili wanajua . ... Kuna kitu anataka kutengeneza Ten Hag ambacho hatoweza na hakipo....., et kutiisha timu 🤗 , Real Madrid na Bayern Munich ni timu zingine ambazo kocha huwez leta ubabe Kwa key players....

Yeye aombee Tu Ronaldo asepe January ,
 
Nyumbu mara ya mwisho kuongoza ligi ten hag alikuwa na rasta kichwani
Wagonga nyundo wa London tuna jambo letu kesho
 
Achana na vibwengo wa humu, hawatakuelewa , Heshima ya Ronaldo OT itakuwa ya Karne na Karne , huyo Ten Hag ni suala la mda tuu kutimuliwa pale....!! Mpak sasa hakuna striker wa kumkalisha bench Ronaldo pale Man u, sku akiwa benchi magoli yanafungwa na midfielders , ndo nin sasa ? Alaf unamweka mtu bench , kuna namna ya kumanage high profile players , huwez kuwaongoza Kwa usawa na wachezaji wengine , hyo ipo wazi na makocha wenye akili wanajua . ... Kuna kitu anataka kutengeneza Ten Hag ambacho hatoweza na hakipo....., et kutiisha timu , Real Madrid na Bayern Munich ni timu zingine ambazo kocha huwez leta ubabe Kwa key players....

Yeye aombee Tu Ronaldo asepe January ,
Ronaldo is not a key player ndo maana anawekwa nje na timu ina pafom
 
#GlazerOUT
#GGMU

manutd
IMG_20221029_122055_374.jpg
 
May be na umri mdogo but hujajibu unaruka ruka is it true kuwa Ronaldo amemzidi kila kitu Ten Hag?nataka unijibu YES OR NO achana na story

PSG ni moja ya reference ambayo imewashinda makocha wengi kuimanage coz ya mambo kama haya Ronaldo anampa headache sana Ten Hag why hutaki kukubali?hakumpanga vs Manchester City Dunia ikaongea Vs Spurs dunia imeongea (ushindi umefunikwa na Ronaldo kuwa snub vs Chelsea) nachosema Ronaldo anamuumiza sana Ten Hag anatamani contract ya Ronaldo iishe na he knows atakuwa na 38

Ronaldo ana uwezo wa kumvimbia Ten Hag na dunia ikampa support hata humu Jukwaani kuna wadau wamegawanyika wanaamini bila Ronaldo no ushindi so solution ni Ronaldo amalize contract aagwe kwa heshima kuna siku ni lazima Ronaldo atarudi United akiwa coach au Technical Director
Ronaldo akivimba anaishia benchi, nyie mtakaomsapoti mtafanyaje zaidi ya kuchonga ngenga?

Na sasa hivi anacheza kwasababu tuna options chache kwenye striking force. Tukishaweka mambo sawa huyo Ronaldo atakuwa kama Harry Maguire. Takwimu zinaonesha msimu huu bila Ronaldo timu inacheza vizuri kitimu na inafunga bila Ronaldo.

Ten Hag ni kama Pep, hakuna mchezaji wa kumpanda kichwani na akaendelea kudumu kwenye hiko kikosi. Wachezaji kibao wameshaoneshwa mlango wa kutokea kwa attitude za aina hiyo.

Mpelekeni huyo Ronaldo hata hapo West Ham awape makombe.

FYI, Ronaldo hawezi manage mtu, anafaa kuwa chini ya mtu. He has no skills to be a manager. Managing carrer yake itaishia kuwa failure kama kina Scholes, Rio, Garry, Roy Keane.
 
Ni kweli kabisaa hkn mchezaji mkubwa kuliko timu
Lkn kwa forward line ye2 msimu huu bora Ronaldo mzee kuliko watoto we2 leo wamewaka kesho wamezima
 
Chelsea anapelekewa Moto sio powA,,,, kila siku yule kocha (GP)wao anabahatisha line up,,,,,

Kwenye coaching waingereza hawako vizuri !

Spurs nae ana Hali mbaya, keshaliwa huko ,, AC anatia huruma Sana na game lake la kizamani, angalia interview zake kapoteza imani kabisa, anasubiri Mr Levy ampige chini avune mkwanja !
 
Marcus Rashford on Erik ten Hag: “The manager’s a joy to work with, really!”.

“Is it hard work? Yeah, but I think we are enjoying it and we’re playing better football”

#GlazerOUT
#GGMU

manutd
 
Diogo Dalot on deal expiring in June: "I don’t think it’s the time to think about my contract situation. We’re in the process to improve our game as team".

"I love to play for Man United as I always try to show, I'm happy - this is the most important thing".

#GlazerOUT
#GGMU

manutd
IMG_20221029_224213_600.jpg
 
Dalot: “We are very happy to have Ronaldo in the team. He scored a goal yesterday. He's been doing that for 20 years now. Every time he's on the pitch, we're a better team. We're happy he's here.”

#GlazerOUT
#GGMU

manutd
 
Manchester United have a decision to make on de Gea’s year option. Erik ten Hag will take the lead.

Plausible United offer extension on reduced terms.

GK search underway in case Ten Hag wants a new No 1.

Costa + Simon among those scouted.

#LaurieWhitwell

#GlazerOUT
#GGMU

manutd
IMG_20221029_224152_656.jpg
 
Back
Top Bottom