Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

3 pnts,,,,, clean sheet!

Utd walikuwa Bora first half,,, westham tuliwazidi kila kitu !

Second half Mambo yalibadilika,,,,,

Elanga hastahili kuwa hata back up player,,,

Anthony tulimmiss

Cr7 si wa kupewa 90mins, aingie timu ikiwa inaongoza haina presha !

In ETH we trust,,,,

#GGMU
Hapo pa CR7 Ndio tunataka.

Awe sub ikiwa gemu inaelekea itakua ngumu yenye pressing.

Mfano mechi ijayo ya Aston villa ingependeza aanzie sub
 

Bila ubora wa DDG hawa West Ham walikuwa wanatupiga goli sio chini ya tatu. Mungu mbariki DDG.

Ubora wa Martinez sijui waliokuwa wanaponda kimo chake wanahali gani kwa sasa.

Ile ndo kazi waliyoajiriwa pale O.T[emoji2]
 
[emoji633] x [emoji1033]

#GlazerOUT
#GGMU[emoji123][emoji41]

manutd
IMG_20221030_231020_551.jpg
 
Since defeat in the Manchester derby, Manchester United have gone 8 games unbeaten:

[emoji736] vs. Omonia
[emoji736] vs. Everton
[emoji736] vs. Omonia
[emoji1666] vs. Newcastle
[emoji736] vs. Spurs
[emoji1666] vs. Chelsea
[emoji736] vs. Sheriff
[emoji736] vs. West Ham

Keeping it rolling. [emoji122]

#GlazerOUT
#GGMU[emoji123][emoji41]

manutd
 
Man utd inashida gani mbona inacheza mpira slow sana, hawana kasi na wanaruhusu kushambuliwa zaidi na wapinzani, tatizo nini kwani jamani

Halmanusura wasawazishe jana wale jamaa
 
Man utd inashida gani mbona inacheza mpira slow sana, hawana kasi na wanaruhusu kushambuliwa zaidi na wapinzani, tatizo nini kwani jamani

Halmanusura wasawazishe jana wale jamaa
Uliangalia mechi vizuri?
 
Back
Top Bottom