Maguire hakuna chenye kabadilikaHii mechi tukifungwa au draw ten hag ataubeba huu mzigo weka nje hao wote magwaya hakuna kitu anafanya ronaldo anazulula tu






Kweli kabisa.FT 1:0
Tumeshinda lakini tumekipata cha moto.
Tumechukua 3 points, rudia kusoma jumbe zako.Mkuu umekiona kikosi?
Mtaamua wenyewe kusafirisha au hapahapa
Acha hizo bana hakuna kupiga mwingi ni uzembe wa wachezaji kuclear mipiraAiseee bahati tu haikua upande wao west ham ila wameupiga mwingi
Sana, Ten Haag pia ajiangalie kuweka mizigo zaidi ya mitatu line up moja.Kwa matokeo yoyote degea leo kasaidia sana
Vipi Man United kafungwa ngapi?Usiseme dra hiyo mechi manyuu anafungwa nyingi