Mechi saa 12 na robo chifuManchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha
Prediction
Manchester united 3 vs westham 1
Old Trafford
1.15 jioni
Last Match
Manchester united 1 vs west ham 0View attachment 2402011
Acha uchawi huo.Leo HAMTOBOI
Yes tulia, subiri dakika tisini za mchezo.Leo sitaki kuongea maneno mengi![]()
Me nadhani unakiwa ufukuze watu kwenye kitu kinachokuhusu, hivi unaonekana mjinga.Mjinga ni wewe na huyo Ronaldo wako.
Ondokeni muache timu.
Sancho hajaanza..GGMU, Sancho aonyeshe uwezo wake leo. Maguire atulie. Ronaldo apate goli 3.

Anthony mgonjwaMaguire Ndani Elanga Ndani No Antony![]()
Usiseme dra hiyo mechi manyuu anafungwa nyingiAiseeh yani tunaanza na Maguire na Elanga? Aiseeh hii mechi hata tukifungwa au kutoa draw itakuwa ni sawa tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Matunda gani, au jinsi magwaya atakavyokuwa anauza magoliMe nadhani unakiwa ufukuze watu kwenye kitu kinachokuhusu, hivi unaonekana mjinga.
Sent using Jamii Forums mobile app