ruralofficer
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,499
- 3,636
By Januari atakua amesepaAnazingua kinoma yn
By Januari atakua amesepaAnazingua kinoma yn
Rashford anauwezo mkubwa sana wakufunga shida Ake kubwa ni kama Pogba hajawah kuwa na fomu ya kudumu Kuna kipind anakua kweny moto Kuna kipind anashuka mfano unakumbuka msimu wa 2020/21 Rashford alikua na form zuri sana ya kufunga ila msimu wa 2021/2022 alishuka sana japo alitoka kweny majerahRashfoooooooord
Huyu dogo ni mnyama saa. Hiyo Jersey No.10 anaitendea haki
Garnacho noma sana..yuko tu benchi huyu Elanga anafanya ujinga ujingaBora angemueka pellistri tuu tujue moja
10 afunge 1Ronaldo wenu anahitaji nafasi 5 afunge moja
Kocha mpuuuuziTunakimbizwaa..Kocha mzito huyu. Toa Erickson weka Fred.
Finished playerRonaldo wenu anahitaji nafasi 5 afunge moja
Maguire hakuna chenye kabadilika[emoji849][emoji849][emoji849]Hii mechi tukifungwa au draw ten hag ataubeba huu mzigo weka nje hao wote magwaya hakuna kitu anafanya ronaldo anazulula tu