Mzee Wa Kazi Chafu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2022
- 2,357
- 5,145
Anthony mgonjwa
Nimeona Mahali Wameandika Kwamba Ameumia Kwenye Training.
Anthony mgonjwa
Aiseeh yani tunaanza na Maguire na Elanga? Aiseeh hii mechi hata tukifungwa au kutoa draw itakuwa ni sawa tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Afadhali anacheza tena yule dogo ana-energy ya kutosha kusumbua mabeki wa timu pinzani.Sancho hajaanza..
Lindelof ameumiaTen hag ameanza ujinga maguire wa nini?
Anthony ameumiaElanga????
Mkuu umekiona kikosi?Yes tulia, subiri dakika tisini za mchezo.
Nashangaa siwezi kupost kituWaliifungia kwann? Mbn ukii mention inakuja?
Ronaldo mpamanaji sana. Huyu Elanga ni wa wapi? Mjinga sana dogo huyu.Ronaldo
Akianza kwenye kikosi timu inakuaga mzigo huyu asivumiliwe upuuuuzi huu
Anazingua kinoma ynRonaldo
Akianza kwenye kikosi timu inakuaga mzigo huyu asivumiliwe upuuuuzi huu
Bora angemueka pellistri tuu tujue mojaRonaldo mpamanaji sana. Huyu Elanga ni wa wapi? Mjinga sana dogo huyu.