Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,104
- 53,609
The so called "legends" walishaprove failure kwenye managerial carreer zao.
Zimebaki kazi za deiwaka kwenye media.
The so called "legends" walishaprove failure kwenye managerial carreer zao.
Hakuna watu wanaomchukia Antony kama mashabiki wa Arsenyani, na chuki zao sababu kubwa ni Antony ndie mwanaume wa kwanza kuwabikiri kwenye Unbeatable.Account yake magoli EPL alianza ninyi vibonde wetu wa muda wote.
Ten Hag on Antony's skill: "I don't have a problem with that as long as it's functional."Punguza assumptions,ukisikia mpira burudani ndo kama hivyo.
Alafu yule ni mbrazil anaruhusiwa.
Nilitaka nipuuzie lakini kuna sauti ndani ya nafsi yangu imenisihi sana nikufunze kitu mdogo wangu usinge jibu namna hii. Unaonekana bado ni kijana mdogo chini ya miaka 25 huna uzoefu halisi na maisha.Stupid boy kwani nilichokisema hukijui njoo na facts za kunipinga kwa nilichokisema sio unakuja na stupid questions
@computerarsenal na hamis77 ni katika mashabiki wa Arsenal werevu na ninaowakubali na kuwaheshimu sana.Nilitaka nipuuzie lakini kuna sauti ndani ya nafsi yangu imenisihi sana nikufunze kitu mdogo wangu usinge jibu namna hii. Unaonekana bado ni kijana mdogo chini ya miaka 25 huna uzoefu halisi na maisha.
Kuna kitu kinaitwa heshima na hekima hivi ni vitu muhimu sana unapaswa kuwa navyo haijalishi una elimu kubwa kiasi gani (Ph.D), pesa nyingi kiasi gani (millions in USD), IQ kubwa kiasi gani (triple digits) siku zote unapaswa ujifunze kuheshimu mamlaka iliyojuu yako haijalishi watu wa walio nyuma ya hayo mamlaka unawazidi kwa kiasi gani.
Unaweza kumdharau baba yako kisa wewe una pesa na elimu kumzidi? Unaweza kudharau executive order (Rais) kisa wewe unamzidi fedha na elimu Rais? Uliposema Ronaldo anamzidi kila kitu Ten Hag kichwani ilinijia taswira kwamba wewe utakuwa ni kijana mdogo sana kiumri. Kumzidi mtu kila kitu hakupaswi kukufanya uwe na dharau na kiburi.
May be na umri mdogo but hujajibu unaruka ruka is it true kuwa Ronaldo amemzidi kila kitu Ten Hag?nataka unijibu YES OR NO achana na storyNilitaka nipuuzie lakini kuna sauti ndani ya nafsi yangu imenisihi sana nikufunze kitu mdogo wangu usinge jibu namna hii. Unaonekana bado ni kijana mdogo chini ya miaka 25 huna uzoefu halisi na maisha.
Kuna kitu kinaitwa heshima na hekima hivi ni vitu muhimu sana unapaswa kuwa navyo haijalishi una elimu kubwa kiasi gani (Ph.D), pesa nyingi kiasi gani (millions in USD), IQ kubwa kiasi gani (triple digits) siku zote unapaswa ujifunze kuheshimu mamlaka iliyojuu yako haijalishi watu wa walio nyuma ya hayo mamlaka unawazidi kwa kiasi gani.
Unaweza kumdharau baba yako kisa wewe una pesa na elimu kumzidi? Unaweza kudharau executive order (Rais) kisa wewe unamzidi fedha na elimu Rais? Uliposema Ronaldo anamzidi kila kitu Ten Hag kichwani ilinijia taswira kwamba wewe utakuwa ni kijana mdogo sana kiumri. Kumzidi mtu kila kitu hakupaswi kukufanya uwe na dharau na kiburi.
Haaaaa haaaaManchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha![]()
![]()
Prediction
Manchester united 4 vs sheriff tiraspol 0
old trafford![]()
4:00 usikuView attachment 2399040![]()
Achana na vibwengo wa humu, hawatakuelewa , Heshima ya Ronaldo OT itakuwa ya Karne na Karne , huyo Ten Hag ni suala la mda tuu kutimuliwa pale....!! Mpak sasa hakuna striker wa kumkalisha bench Ronaldo pale Man u, sku akiwa benchi magoli yanafungwa na midfielders , ndo nin sasa ? Alaf unamweka mtu bench , kuna namna ya kumanage high profile players , huwez kuwaongoza Kwa usawa na wachezaji wengine , hyo ipo wazi na makocha wenye akili wanajua . ... Kuna kitu anataka kutengeneza Ten Hag ambacho hatoweza na hakipo....., et kutiisha timu 🤗 , Real Madrid na Bayern Munich ni timu zingine ambazo kocha huwez leta ubabe Kwa key players....May be na umri mdogo but hujajibu unaruka ruka is it true kuwa Ronaldo amemzidi kila kitu Ten Hag?nataka unijibu YES OR NO achana na story
PSG ni moja ya reference ambayo imewashinda makocha wengi kuimanage coz ya mambo kama haya Ronaldo anampa headache sana Ten Hag why hutaki kukubali?hakumpanga vs Manchester City Dunia ikaongea Vs Spurs dunia imeongea (ushindi umefunikwa na Ronaldo kuwa snub vs Chelsea) nachosema Ronaldo anamuumiza sana Ten Hag anatamani contract ya Ronaldo iishe na he knows atakuwa na 38
Ronaldo ana uwezo wa kumvimbia Ten Hag na dunia ikampa support hata humu Jukwaani kuna wadau wamegawanyika wanaamini bila Ronaldo no ushindi so solution ni Ronaldo amalize contract aagwe kwa heshima kuna siku ni lazima Ronaldo atarudi United akiwa coach au Technical Director

sawaNyumbu mara ya mwisho kuongoza ligi ten hag alikuwa na rasta kichwani
Wagonga nyundo wa London tuna jambo letu kesho![]()
Unaumia ukiwa wapi mchizi boti?Kwenye Europa munawafunga wavimba macho timu ya mchangani alafu munasema muna timu![]()
ChiziKwenye Europa munawafunga wavimba macho timu ya mchangani alafu munasema muna timu![]()