Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nilipenda sana uamuzi wa Ten hag jana kwa Antony jana..

Timu inahaha kutafuta goli watu wanatoka ulimi nje na jasho la kutosha, lenyewe limepokea mpira.. huku kulia Dalot kafungua chumba..Mbele pale Cesa kafungua kwenye box... Linyewe limepokea pasi safi badala ya kupress kwa Dalot au lichokonoe kwa cesa kule kwenye box linazunguka tu na ma spin yake ili kutafuta mkenue kwa mashabiki. Anakuja kutoa pasi too late na cesa kakata tamaa mpira ukaenda nje..

Baada ya kipenga cha break.. likapotelea hukohuko.. hakuna kurudi uwanjani. Wish Ten alimkanya sana.. Wenzako wanamoto sana wewe unaleta utoto..!!
Huyu antoni ni kanyaboya
 
#GlazerOUT
#GGMU[emoji123][emoji41]

manutd
IMG_20221028_123527_004.jpg
 
Baada ya mechi aliulizwa kwenye interview kama hii ndo ilkua sababu ya kumtoa na akakataa.
 
Cody Gakpo is doing fantastic with PSV. His transfer situation has now changed: Leeds and Southampton wanted to bid again for January but that kind of move looks unlikely. [emoji599][emoji1179] #transfers

Top European clubs are interested in signing Gakpo in 2023.

#GlazerOUT
#GGMU[emoji123][emoji41]

manutd
IMG_20221028_122424_687.jpg
 
Erik ten Hag: “Cristiano Ronaldo is important part of the squad, that’s why he starts. Today we need goals”. [emoji837][emoji1201] #MUFC

“Alejandro Garnacho has impressed me in training and so he deserves to play”.

#GlazerOUT
#GGMU[emoji123][emoji41]

manutd
 
Erik ten Hag: "Seeing Cristiano Ronaldo get his goal was great. He created a lot, the team created for him and we know he has the capability to finish". [emoji837][emoji1201] #MUFC

"Cristiano needed a goal and now I'm confident there will be more goals".

#GlazerOUT
#GGMU[emoji123][emoji41]

manutd
 
Baada ya mechi aliulizwa kwenye interview kama hii ndo ilkua sababu ya kumtoa na akakataa.
Ki professional asingekubali mzee, ili kugain confidence ya mchezaji kwa public. Ila naamin ndani ya dressing room dogo alikula vitasa vya kutosha tu, ukitaka kuona hili mwangalie dogo alivosawajika pale bench mpaka mechi inaisha dogo karefusha mdomo utafikiri kala ndimu..!!
 
Punguza assumptions,ukisikia mpira burudani ndo kama hivyo.
Alafu yule ni mbrazil anaruhusiwa.
 
Ronaldo ni mkubwa kuliko Ten Hag kimaendeleo, kipesa ,kiuchumi ,kimataji ,yaani everything that's why hata jana kampanga CR7 baada ya ban vs Chelsea hapo Ten Hag anaomba Mungu Ronaldo contract iishe coz atakuwa na 38 na yeye ataridhia kusepa kwenda may be USA or China or Uarabuni kula maisha Ronaldo anamtesa sana Ten Hag I am telling you
Kumbe we ni assAnal
 
Account yake magoli EPL alianza ninyi vibonde wetu wa muda wote.
Hakuna watu wanaomchukia Antony kama mashabiki wa Arsenyani, na chuki zao sababu kubwa ni Antony ndie mwanaume wa kwanza kuwabikiri kwenye Unbeatable.
Uchungu na hasira za kuloose virginity tena kwa kubakwa hua zinachukua muda mrefu sana kuisha au huenda zikadumu milele.
 
Punguza assumptions,ukisikia mpira burudani ndo kama hivyo.
Alafu yule ni mbrazil anaruhusiwa.
Ten Hag on Antony's skill: "I don't have a problem with that as long as it's functional."

Waache kumsakama Antony anapoamua kutuonyesha burudani.
Kwanza yale manjonjo yake psychological hua yanawavuruga wapinzani na kuwafanya washindwe kujiamini.
Binafsi Antony jana alifanya nimkumbuke Ronaldinho.
 
Stupid boy kwani nilichokisema hukijui njoo na facts za kunipinga kwa nilichokisema sio unakuja na stupid questions
Nilitaka nipuuzie lakini kuna sauti ndani ya nafsi yangu imenisihi sana nikufunze kitu mdogo wangu usinge jibu namna hii. Unaonekana bado ni kijana mdogo chini ya miaka 25 huna uzoefu halisi na maisha.

Kuna kitu kinaitwa heshima na hekima hivi ni vitu muhimu sana unapaswa kuwa navyo haijalishi una elimu kubwa kiasi gani (Ph.D), pesa nyingi kiasi gani (millions in USD), IQ kubwa kiasi gani (triple digits) siku zote unapaswa ujifunze kuheshimu mamlaka iliyojuu yako haijalishi watu wa walio nyuma ya hayo mamlaka unawazidi kwa kiasi gani.

Unaweza kumdharau baba yako kisa wewe una pesa na elimu kumzidi? Unaweza kudharau executive order (Rais) kisa wewe unamzidi fedha na elimu Rais? Uliposema Ronaldo anamzidi kila kitu Ten Hag kichwani ilinijia taswira kwamba wewe utakuwa ni kijana mdogo sana kiumri. Kumzidi mtu kila kitu hakupaswi kukufanya uwe na dharau na kiburi.
 
@computerarsenal na hamis77 ni katika mashabiki wa Arsenal werevu na ninaowakubali na kuwaheshimu sana.
Hata nikiwa nawadhihaki Arsenal hua najifikiria mara mbilimbili nisiwaudhi hawa watu wawili.
Itoshe tu kusema computerarsenal amepitiwa tu kidogo na mapenzi yake juu ya Ronaldo ila nnaamini hakumaanisha kwa dhati kile alichokisema ni kimemtoka tu kwa bahati mbaya.
Joh Doe pia nikushukuru kwa kumuweka sawa kijana, na kwaniaba yake nikuombe radhi kwa lugha aliyoitumia dhidi yako.
 
Back
Top Bottom