The guy is 30 now....bt whatever it is I dont care on his return!!Mkuu soma hiyo link. Inaelekea hukuisoma hiyo habari. Moyes ndo kasema ni re-occurrence. Sijazungumzia RVP kama atarudi lini, nilichokuwa nadokeza ni jinsi inavyokuwa vigumu kwa mchezaji kurudi katika hali yake ya mwanzo ya kiuchezaji baada ya majeruhi na ukizingatiwa ana umri wa miaka 28 na kuendelea. Sina maana ya ku-Wum
Haswaaaaaaaaaaa...Ukiweka ushabiki mbele Hili Ndoo ni la Arsenal mwaka huu.
Hahahaaa pole kwa kula viroba..!! Najua wengi hamjaiamini Arsenal bt they deserve!! Wanacheza kitimu sana hawa mbwana...they don't depend on individual playersMkuu nina sherehekea Mapinduzi (MTUKUFU) macho yangu bado yana mninginio sioni vizuri unamanisha Arsenal ya Wenger?.
Hahahaaa pole kwa kula viroba..!! Najua wengi hamjaiamini Arsenal bt they deserve!! Wanacheza kitimu sana hawa mbwana...they don't depend on individual players
DM at Juve game?View attachment 131885
The guy is 30 now....bt whatever it is I dont care on his return!!
Inasemekana alienda kumuangalia Claudio Marchisio,na jamaa alifunga bonge la goli
View attachment 131656
....Dahhh?....
Maskini, wenye nyumba hii sijui limewafika lipi...!
Cc; BAK Wacha1 pierre.fm Balantanda Viper Sizinga Wandugu Masanja Rejao Mentor?
....kumetokea nini mtaa huu?
''Manchester United manager David Moyes sees tenure marked by £220m being wiped off stock market valuation
Manchester United manager David Moyes' failure to chase down Premier League's top four has seen the club's worth tumble by £220m in a month ..... ...... ....... ........ ......''
Get me out of here mourns Mo No .... ....
Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
kny Mentor i n g I d i o t s ..... ...... ......
Nachubiri Nzi aje kujibu hii hoja khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hawezi akijibu nitam-credit £1.00 kwenye account yake khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
The news is only found in the Telegraph. Just as the Mirror, the newspaper is a rigid anti-Man Utd...
So I am a bit sceptical on the news...as it is found no where else apart from the Telegraph....
Inasemekana alienda kumuangalia Claudio Marchisio,na jamaa alifunga bonge la goli
Ila inabidi kustep up hiyo game ya kusajili....
Hii timu kwishney kabisa! Na j2 tunawafunga ndio wachukue maamuzi magumu ya kumfukuza Moyes!
Manchester United sio timu ya kufukuzafukuza makocha kama Abromovic
Mtamfukuza tu huyo Kocha wenu! Hamuoni ameanza kuingiza hasara?