Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nyumbu hawataki kuisikia weekend[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unai Emery na villa yake anawasubiri amekaa paleeeeeeeeeeee
 
Manchester United are reportedly interested in signing João Felix. He is dissatisfied with Diego Simeone & wants to leave Madrid.

#SkySports
#GlazerOUT
#GGMU[emoji123][emoji41]

manutd View attachment 2397257
This would be the best signing ever post Sir Alex Ferguson era.

Joao Felix ana tatizo la injury ila ni mchezaji mwenye fighting spirit kubwa sana na bahati pia.

Ana tactical awareness kubwa sana uwanjani anakaba, anachezesha timu hana uchoyo.

Of all ana strong character.

Imagine umsajili Joao Felix umlete Benjamin Sesko/ Lautaro au Patrick Schick you have a squad ready to compete for trophies.
 
Haitobadilisha kwamba jamaa ammecheza soka kwa mafanikio makubwa sana na kila mtu anaejihusisha na football dunia kuna wakati anatamani angekua yeye(Ronaldo).Habari za pele na maradona tunazikubali lkn kwa Generation hii. RONALDO DID what is needed to be done .Erik ten hag maybe anaumia pale manchester inaposhinda na Ronaldo akiwa sehemu ya timu pale vyombo vya habari vinapo mpa Christiano airtime zaidi ( Ronaldo helped mufc to win agaist .......) i think ndo vitu hataki kuviona anataka yeye ndo awe front page
Yan Mkuu ukakaa kbs na ukajarb kuandika na kujustify Cr7 anayo fanya ni sahihi na ukaenda mbl zaid kusema Ten Hag anaumia kuona Cr7 anakua mbele ya kurasa?.. Dah nimesoma andiko lako nime Conclude tu kitu ki1, mahaba au unazi na ki2 fulan usizid kipimo.
 
Haitobadilisha kwamba jamaa ammecheza soka kwa mafanikio makubwa sana na kila mtu anaejihusisha na football dunia kuna wakati anatamani angekua yeye(Ronaldo).Habari za pele na maradona tunazikubali lkn kwa Generation hii. RONALDO DID what is needed to be done .Erik ten hag maybe anaumia pale manchester inaposhinda na Ronaldo akiwa sehemu ya timu pale vyombo vya habari vinapo mpa Christiano airtime zaidi ( Ronaldo helped mufc to win agaist .......) i think ndo vitu hataki kuviona anataka yeye ndo awe front page
EtH anamkubali sana CR7 hilo lipo wazi,Shida ni tabia za kitoto anazoonesha CR7 its very strange.
CR7 lazima aoneshe high degree of professionalism,Btw sioni kama January tutakuanae binafsi naona asepe tu asijekuchafua dressing room.
 
#GlazerOUT
#GGMU[emoji123][emoji41]

manutd View attachment 2397925View attachment 2397928View attachment 2397919View attachment 2397921View attachment 2397920
IMG_20221025_222040_310.jpg
View attachment 2397927View attachment 2397926
 
EtH anamkubali sana CR7 hilo lipo wazi,Shida ni tabia za kitoto anazoonesha CR7 its very strange.
CR7 lazima aoneshe high degree of professionalism,Btw sioni kama January tutakuanae binafsi naona asepe tu asijekuchafua dressing room.
Acheni kulinganisha Ronaldo na taka taka , Ten hang atasepa , Ila Ronaldo ataendelea kukumbukwa Old Trafford vizazi na vizazi hata kama atasepa January ... Nyie mashabiki wa JF hamna impact yyte
 
Haitobadilisha kwamba jamaa ammecheza soka kwa mafanikio makubwa sana na kila mtu anaejihusisha na football dunia kuna wakati anatamani angekua yeye(Ronaldo).Habari za pele na maradona tunazikubali lkn kwa Generation hii. RONALDO DID what is needed to be done .Erik ten hag maybe anaumia pale manchester inaposhinda na Ronaldo akiwa sehemu ya timu pale vyombo vya habari vinapo mpa Christiano airtime zaidi ( Ronaldo helped mufc to win agaist .......) i think ndo vitu hataki kuviona anataka yeye ndo awe front page
This level of ignorance is alarming.

Baki na story za kina Diamond na Harmonize.
 
Acheni kulinganisha Ronaldo na taka taka , Ten hang atasepa , Ila Ronaldo ataendelea kukumbukwa Old Trafford vizazi na vizazi hata kama atasepa January ... Nyie mashabiki wa JF hamna impact yyte
Umekuwa kama mpumbafu unajua??
Akina Cantona walikuwa na impact wakaondoka, wengine wengi watakuja watashine na wataondoka, so tupumzishe na Ronaldo wako.

Kwa sasa tunachoangalia ni timu kridishwa to its glory, haijalishi nani atafanya hivyo hata angekuwa Mgunda poa tu as long as timu yetu irudi kule tulikozoea.

So peleka ujinga wako huko, usituchefue hapa.
Mpuuzi nini

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom