Mechi ya Arsenal Fred aliingia akabalance team. Team ikatulia.Sidhani kama pogba hapendwi sababu ni mchezaji mbaya, na sio kwamba ameondoka man U sababu hana level za kucheza Man u.
Pogba ameondoka man U sababu alikuwa anataka Mshahara mkubwa,na Hapendwi sababu ya drama zake, Agent wake, majeruhi etc. Wote tunajua full fit pogba ni world class.
Just Mechi ya Juzi spurs, mfumo tuliocheza, sababu spurs hawapress highline (zipo timu nyingi Epl kama hivi) tulinchezesha Fred kuwapress kule kule kwao, toka Aje ETH pengine toka Mechi ya leeds mwaka jana Man united haijawahi cheza mpira mzuri kama vs Spurs. Huu mfumo hauwezekani kuchezeka bila Fred, Ama assume wewe ndio Kocha kwa midfield zetu za sasa Mtoe Fred utampanga nani kupress mbele? Mc tominay?, Eriksen? Casemiro? Achana na United, muuze fred unamnunua nani kumreplace Fred ambaye atakua na Quality zaidi ya Fred?
Hizi pressing stats za Fred vs Spurs alifanya kazi ya watu 3.
View attachment 2395463
Kwenye Timu unahitaji Quality mbalimbali, kila mechi ina approach yake na quality fulani inafit mechi fulani.
Unataka kusema mourinho alivyokuwa hamtaki Pogba ni Kwasababu ya mshahara ?Sidhani kama pogba hapendwi sababu ni mchezaji mbaya, na sio kwamba ameondoka man U sababu hana level za kucheza Man u.
Pogba ameondoka man U sababu alikuwa anataka Mshahara mkubwa,na Hapendwi sababu ya drama zake, Agent wake, majeruhi etc. Wote tunajua full fit pogba ni world class.
Just Mechi ya Juzi spurs, mfumo tuliocheza, sababu spurs hawapress highline (zipo timu nyingi Epl kama hivi) tulinchezesha Fred kuwapress kule kule kwao, toka Aje ETH pengine toka Mechi ya leeds mwaka jana Man united haijawahi cheza mpira mzuri kama vs Spurs. Huu mfumo hauwezekani kuchezeka bila Fred, Ama assume wewe ndio Kocha kwa midfield zetu za sasa Mtoe Fred utampanga nani kupress mbele? Mc tominay?, Eriksen? Casemiro? Achana na United, muuze fred unamnunua nani kumreplace Fred ambaye atakua na Quality zaidi ya Fred?
Hizi pressing stats za Fred vs Spurs alifanya kazi ya watu 3.
View attachment 2395463
Kwenye Timu unahitaji Quality mbalimbali, kila mechi ina approach yake na quality fulani inafit mechi fulani.
KovacicNani huyo?
AyaNafikiri kucheza Ten Hag anaweza kumpa nafasi out of respect as a gentleman. Yule mholanzi hanaga nongwa na mtu ila anaonekana hana masikhara. Mfumo wa Ten Hag Ronaldo ni mzigo hana energy ya kufanya pressing.
Ronaldo ni legend as a player ila inaonekana ktk maisha yake ya kawaida ni mtu mwenye personality ya hovyo sana. Huwa nakereka sana ninapoona mwanaume anapenda attention pamoja na kuongozwa na hisia kama mtt wa kike.
Kuna muda mambo ktk maisha yanaweza yasiwe yanaaenda upande wako ila kama mwanaume unapaswa kudhibiti akili yako ili hisia zisianze kutawala uwezo wako wa kufanya maamuzi. Ronaldo karuhusu hisia kufanya maamuzi. Hajazoea kutokuwa key player. Pia hataki kukubaliana na nyakati.
Msimu ujao ataungana na mshikaji wake Jurrien Timber.Its not the size of the dog in the fight, it’s the size of the fight in the dog”
View attachment 2395427
Kwani jana De Gea alicheza namba ngapi??Wakuuu... de gea ameisha sana. Jana tungekuwa na golikipa mzr kama willy cabalero tungeshinda mapema tuu
Dah nilikuwa naangalia ga Fred ananininhadi Brazil squad awemo..lkn Sasa naona maana ya Fred uwanjaniMechi ya Arsenal Fred aliingia akabalance team. Team ikatulia.
Pale ndo nikaona umuhimu wake right away. Sema kuna wakati anapotea mpaka unajiuliza.
Hata Mimi naona hizo daliliDeGea anaweza asipewe mkataba mpya.
Me naona Rashford asogee pembeni kule anapocheza Sancho then wamrudishe Cr7 aruke ruke hapo kati
Maana dogo naona kama benchi linamfaa zaidi kuliko cr7
Soma vizuri nilichoandika. Na issue ya Mou na pogba haijawahi kuwa ya uwanjani, Full fit pogba alikuwa anaanza mda wote Chini ya mou, issue yao ni kwenye dressing room.Unataka kusema mourinho alivyokuwa hamtaki Pogba ni Kwasababu ya mshahara ?
Fred weakness yake kubwa ni kupoteza mipira, timu ambayo inatupress sisi ni rahisi yeye kupokonywa mipira, si mzuri kwenye kukimbia press, ila sisi tukiwa ndio tunapress wachezaji wachache sana wana uwezo kama wake, jamaa anakimbia dakika 90 na halalamiki anapiga tu kazi.Mechi ya Arsenal Fred aliingia akabalance team. Team ikatulia.
Pale ndo nikaona umuhimu wake right away. Sema kuna wakati anapotea mpaka unajiuliza.
Ile mechi na Newcastle huyo Fred alikua ni kituko sana.Fred weakness yake kubwa ni kupoteza mipira, timu ambayo inatupress sisi ni rahisi yeye kupokonywa mipira, si mzuri kwenye kukimbia press, ila sisi tukiwa ndio tunapress wachezaji wachache sana wana uwezo kama wake, jamaa anakimbia dakika 90 na halalamiki anapiga tu kazi.
Ofcourse sisi tukiwa na mpira mtu kama Eriksen ni mzuri zaidi kuliko Fred,Ile mechi na Newcastle huyo Fred alikua ni kituko sana.
Ukimuondoa City msimu huu hizo nafasi tatu hazina mwenyewe ila moja ya timu ninayoipa nafasi kubwa sana ni NU.Nawaona Newcastle United pamoja na Eddie Howe nafasi ya nne msimu huu.
NU naona upepo upo upande wao leo comte kazi ni kukuna kidevu tuUkimuondoa City msimu huu hizo nafasi tatu hazina mwenyewe ila moja ya timu ninayoipa nafasi kubwa sana ni NU.
Hawa jamaa wapo organized vizuri sana msimu huu kuanzia uongozi wa juu mpaka technical staffs.
Na nyie kuku mkashindwa kutamba kwa notigham forestKwahiyo nyie nyumbu mkashindwa kabisa kutamba Kwa Chelsea
Hawa jamaa wako vizuri sana. Wana timu nzuri sana jumlisha na kocha anayelijua vizuri soka la Uingereza.NU naona upepo upo upande wao leo comte kazi ni kukuna kidevu tu