Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Iyo ela flamini kaipata wapi

Kwani bado anacheza
 
Rashford ana Consistency angalia kwa jicho jengine. Mechi zote hizi kubwa kina Liver, Arsenal, Spurs ambazo tumeshinda ni key player. Kikosi kikiwa kikubwa kila mchezaji atakua na role yake.
Ana makosa mengi sana ya kiufundi, sio lazima uwe kocha kulitambua hilo, labda kama atabadilishiwa namba acheze chini au beki mbili lkn co forward, inahitaji akili nyingi kucheza mbele.
 
 
Ana makosa mengi sana ya kiufundi, sio lazima uwe kocha kulitambua hilo, labda kama atabadilishiwa namba acheze chini au beki mbili lkn co forward, inahitaji akili nyingi kucheza mbele.
Rashford ni proven big game player, mechi 3 hizi msimu huu tunahsinda na zote ana mchango mkubwa sana, msimu uliopita tumestruggle sana vs top 6 sababu kubwa ni Yeye na Martial kukosekana kwao. timu ikishakamilika kila mtu ata assume role yake na watarotate kutokana na strength zao.
 
Bruno yule mfia timu ,mimi nahisi ndio mchezaji anayeumia kuliko wote timu inapofungwa jamaa akirudisha utulivu wake kama wa kidini ile ya mwanzo patanoga sana.
 
27/08/2021

Juventus are waiting for Man City official bid to arrive in the next hours to reach an agreement as soon as possible. Ronaldo wants to leave and he won’t be available for next match.

Mendes is now discussing Ronaldo’s contract with Man City.

Baada ya hapo babu yenu Ferguson alipagawa akafanya usajili wa kukurupuka wa Ronaldo [emoji23][emoji23][emoji23]Leo kashaleta vita na ETH,tutaona Nan mbabe kati ya cr7 vs ETH....

Kumbuka mguu mmoja wa kushoto wa Cr 7 ni mkubwa na unahistoria kumzud ETH na man utd yote kwa ujumla ...
 
Ten Hag on Ronaldo removed from squad: "It will have a reflection for him, but also for everyone". [emoji837][emoji1201]

"First time with Rayo wasn’t acceptable, but he wasn’t only one. The second time has consequences. Football is a team sport and you have to respect standards".

#RonaLdoOUT
#GlazerOUT
#GGMU[emoji123][emoji41]

manutd
 
Huyu ana kiburi sana.
EtH ni kocha safi sana, akiendelea hivi atafanikiwa. Nidhamu ni kitu muhimu sana.

Huyu ten hag hatofika mbali ni lazima tukubali kwanza Ronaldo ana mafanikio makubwa kuliko yeye kwenye mpira wa miguu anastahili heshima kilichopo pale wala sio kiwango cha Ronaldo but ni chuki binafsi .Tujifunze kuthamini kazi kubwa walizofanya watu mpk wakafika walipo bila kuwachukia
 
Kila napo pita watu wanafuraha kweri kweri[emoji16][emoji16] kuuliza kunani leo wanasema.

Manchester united inacheza leo na dunia nzima wana furaha[emoji16][emoji16]

Prediction

Chelsea 1 vs Manchester united 2

Muda

[emoji355] 1:30 jioni

[emoji909]Stamford bridge

Last match

Chelsea 1 vs Manchester united 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…