Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Pila biriani bila kua na magoli ni utopolo mtupu, ingawa unapigwa mpira mkubwa sana ila muda wote unakua na presha unawaza ikitokea chance kwa Kane au Son hawawezi kutuacha salama.
Ubora wa Lloris aliouonesha kipindi cha kwanza umetukosesha zaidi ya magoli 3 ya wazi, huyu kipa anawaokoa sana Spurs.
Screenshot_20221019-231731.jpg
 
Back
Top Bottom