Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,721
Sisi tukisema tunaonekana wahafidhina,Waambie kuna msimu Pepe alifikisha mpk goli 11kwahyo wasitishike na goli 3... huyo n Daniel James Tu WA pauni mil. 100
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Rio Ferdinand na yeye kasema winger za man u zote zijifunze kwa saka
Wingers za man u hasa Anthony zinachojua kurudisha mipira nyuma ,hawasaidii kukaba, Ni winger zisizotia njaa, leo hii ukicheza na Newcastle utaulizia kuna maximin ,ukicheza na Brighton utaulizia kuna trossard , ukicheza na palace utaulizia kuna zaha, ukicheza na Leeds utaulizia kuna Sinisteira, n.k
Man u Nan anaogopesha ? Labda rashford akiamka vizuri
Rio Ferdinand urges Man Utd stars to copy Bukayo Saka trait - "I love that about him"
kwahyo wasitishike na goli 3... huyo n Daniel James Tu WA pauni mil. 100



