Pionaire
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 1,595
- 1,135
Acheni ujanja ujanja nyie sajilini beki mwenye kimo na hadhi ya kukaba dude kama haaland...sio mnamtoa kafara Martinez wa watu...anakuwa ni kama mbuzi anayetaka kula majani anayokulaga Twiga mtini...anawezaje sasa??.
Yupo vizuri ndio, ila kukosa kimo kunamnyima uwezo wa kuwin Air Battle dhidi ya giant strikers kama haaland, michael antonio, chris wood..n.k
Yupo vizuri ndio, ila kukosa kimo kunamnyima uwezo wa kuwin Air Battle dhidi ya giant strikers kama haaland, michael antonio, chris wood..n.k