Manchester United (Red Devils) | Special Thread

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]




Mandonga fc mmetinduliwaaaaa nyau nyie,hatuoni uchambuzi wenu leo
 
Yani kupata goli 3 unafurahia wakati ushapigwa 6 halafu angalia hizo goli umezipata wakati gani hii timu yenu inabidi mjipe mda wa kufanya rebuild na hapo muombe huyu kocha awe sahihi kwenu tofauti na hapo mtabaki na majuto
 
ronaldo hakuanza kaanza rashford vipi aliupiga mwingi ? mctominay nae vipi
 
Yani kupata goli 3 unafurahia wakati ushapigwa 6 halafu angalia hizo goli umezipata wakati gani hii timu yenu inabidi mjipe mda wa kufanya rebuild na hapo muombe huyu kocha awe sahihi kwenu tofauti na hapo mtabaki na majuto
Umeongea point Sana, hizo goli 3 pia zimekuja baada ya Pep kufanya sub, maana ana mech ya UCL ,pia mwez wa 10 Kuna mech kila baada ya siku 3

Na mancity ana kikos finyu na tayari ana majeruhi kadhaa, mancity ana wachezaji 25 au 24 tu Kama sikosei ,tofaut na man u Wana wachezaji 30-31 ,

Ilikuwa lazima Pep afanye Zile sub, maana Rodri,Walker ,Stones, injury

Kuhusu Rebuild upo sahihi ,pakibuma hapo ,unaishia kufukuza kocha unabaki na wachezaji wanakula mishahara mikubwa kuwaondoa ngumu
 
Kumbe unawajua man utd zaid kuliko timu unayoitetea man city. Kweli nyie unaakili za kuku. Huohuo uginyi na injury ndiyo udhaifu wao. Vitu kibao hamuvifanyii consideration unaongea upumbupumbu, hujaangalia weakness za pande zote. Hujui kocha wa utd anahaha kupata wachezaji anaowataka, anatumia remains za wenzie.

Mnapenda kuongelea matarcore yenu ya nyuma. Ishu kikao you cc an talk about, mnaongelea nyegere zenu maaanina kabisa.
 
Acha kuteseka,TIMU ITAWAUA HIYO

 
Tatizo mnabetia timu mnazozipenda ndio mnaumia double double
 
Hujaongea point ata moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…