DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,877
Mumeziea mbeleko za epl,Yaani refa hataki hata kuhangaika na VAR.. 2 clear penalties denied
Mumeziea mbeleko za epl,Yaani refa hataki hata kuhangaika na VAR.. 2 clear penalties denied
Lakini mmegongwaBado timu ina mechi 5 na zinahitajika angalau points 10 kufuzu. Hivyo let’s stay positive.
#GGMU

Amka usije kunya kitandani unaota weweNi Siku ya Mechi!!
UEFA Europa League
Old Trafford
Saa 4:00 usiku
Real Sociedad!!
Prediction
Manchester united 4 vs Real sociedad 1
Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha
#GGMU
View attachment 2349637
Sawa lakini mmebanduliwaLiverkuku kala 4, Cheltako 1, Arsemavi kashinda kwa fedheha. Chill afu acha kushobokea uzi wetu. Kawaida yetu tunakusoma mara ya kwanza second time huponyoki. We lost two matches zite tulitumia kuimarika, Epl hatupigiki, Europa mwisho leo. ACHA SHOBO MTOTO WA KIUME.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi furaha yetu kuwagonga nyie tuKosi la ushindi eeeeeeh basi Sawa![]()
Kwani SI mmegongwa au?Wewe ni mnafiki tunakujua ulisemaje hapa.
View attachment 2350885
ushindi mtamu mtamu nao ukapatkanaKwa kikosi hiki ushindi mtamu mtamu. Anton atapenda kuendeleza makali. Casamiro, Eriksen na Fred patamu sana hapo. CR7 atatoa onto kucheza Europa, kwamba siyo size yake. Maguire na Linderlof hope watakuwa makini leo.
Fuse zimelegea au ndio akili zako za kila siku??Tuna msiba matokeo ya iyo mechi hatuhusiki mama yetu kafariki![]()
Hawa ndio nyumbu sasa tunaowajua sisi😁Nyumbu zimerudi kwenye default settings
Wanadai wako bize na Msiba wa Malkia😁Hawa ndio nyumbu sasa tunaowajua sisi😁
Hebu keweni na adabu watu tupo msibani.Hawa ndio nyumbu sasa tunaowajua sisi![]()
Hebu keweni na adabu watu tupo msibani.