SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,803
- 25,449
Inakaza kweli makalio, ngoja sasa wakutane na wanaofanana nao. Patupu.Hii timu inajua kuikamia Liverpool na Arsenal tu.
Inakaza kweli makalio, ngoja sasa wakutane na wanaofanana nao. Patupu.Hii timu inajua kuikamia Liverpool na Arsenal tu.
Mshapigwa hukoKosi la ushindi ili japo hawa jamaa ni wagumu kweli.View attachment 2350538
-1Tunaongoza ngapi huko wadau?
Mwambie akamuangalie MarquinhosHuyu antony inatakiwa atulize Sana akili acheze kwa kutulia Ni Kama ana too much expectations anacheza na jukwaa utoto utoto mwingi
Hamna penalty hapo [emoji23]Yaani refa hataki hata kuhangaika na VAR.. 2 clear penalties denied
Hataki kutazama maana haoni kama kuna haja hiyo.Yaani refa hataki hata kuhangaika na VAR.. 2 clear penalties denied
Huyo refe kanikela vibaya mno.Yaani refa hataki hata kuhangaika na VAR.. 2 clear penalties denied
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yamebanduliwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hamna penalty hapo [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tuna msiba matokeo ya iyo mechi hatuhusiki mama yetu kafariki[emoji24][emoji24]
Wacha weeh!Kwa kikosi hiki ushindi mtamu mtamu. Anton atapenda kuendeleza makali. Casamiro, Eriksen na Fred patamu sana hapo. CR7 atatoa onto kucheza Europa, kwamba siyo size yake. Maguire na Linderlof hope watakuwa makini leo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kutamba kote kule mtaani maneno mengi kumbe mnacheza uropa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]